Tusidanganyane kwa sasa Wachezaji wote wa Yanga SC wana Thamani maradufu dhidi ya Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume na Yule aliyefika Robo Fainali ya CAFCL namwona ni Mwanaume / Mtoto na kuna muda namwona kama Mtoto wa Kike tu pia.

Ukininunia GENTAMYCINE ambaye sifichi kusema Mimi ni mwana Simba SC lia lia kwa huu Uzi wangu jitahidi utafute Sumu ya Panya Unywe ili Ufe kabisa.

Yanga SC ndiyo Bingwa CAFCC 2023.
 
Mmmh! Kumekucha sasa...!!


"Mimi ni mwanasimba lia lia"
 

Ifike mahali kila Mtanzania awe Yanga. Haiwezekani wananchi Yanga tunafurahi halafu kuna Watanzania wenzetu hawana furaha
 
Gentamycine ww umetisha
 
Ni kweli,genta hebu andika kuhusu huyu feitoto ni nini hasa kinamsumbua.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…