Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

Saaaaaafi, Muuza mchele, vipi makato unapeleka?
 
Hujataja umri wako ili niseme kitu
 
Hongera bibiye afadhali matumizi iendane na kasi ya kuzitafuta.
 
Huo ni ukahaba. Utakuja kuliwa kwa mpalange na kurekodiwa video sababu ya tamaa za pesa pumbavu wahedi.....

Umasikini wa damu sio mzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una mawazo ya kimaskini Sana yani unaona kula maharage ni adhabu, yes wapenda pesa wewe kipato chako kikoje?
hana elimu ya lishe, hata mm nlikua naonaga maharage ni chakula daraja la chini sana nkiwa mdogo,kwa sasa nakula kila baada ya siku moja kupata protein, maharage hayakwepeki kama mtu unataka kua na afya nzuri
 
Ebu njoo pm tujienjoy maana wanawake wakweli kama wewe wasema ukweli ndio napenda kuenjoy nao ...alafu unaonekana una hitaji mwanaume wakugegedana na sio kumtegemea kimaisha
 
Ebu njoo pm tujienjoy maana wanawake wakweli kama wewe wasema ukweli ndio napenda kuenjoy nao ...alafu unaonekana una hitaji mwanaume wakugegedana na sio kumtegemea kimaisha
 
Nipo na kiduku lilo hapa amenialika kwake nimemuonesha hii thread yako kacheeeka had kadondoka kwenye bugat yake Sasa sijajua kacheka nn ngoja akiinuka nitamuuliza
 
Umeanza vbaya ila umemalzia vzuri, cha msing matumiz yaczd kipato chako tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…