Tusidanganyane :Sioni uwezekano wa watu kuandamana 7/7.

Tusidanganyane :Sioni uwezekano wa watu kuandamana 7/7.

Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.

Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.

Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
Ni ukweli wa wazi , na ikifeli na hii itaua moraki ya maandamano kabisa hata ya Afcon itakosa power na hamasa
 
Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.

Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.

Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
Maandamano wakati mwingine ni tukio la kijasusi.

Endapo waandamanaji wataanzia Ndani ya viwanja vya sabasaba maandamano haya yatakuwa makubwa sana
 
Hii ni propability mjuba, hata yale yaliyopita yalionekana ni ya mtandaoni tu, watu wakaandamana aisee, yakatokea maafa makubwa. Kuna watu wana roho ngumu hawaogopi kufa, ndio maana wapinga maandamano hayo nao wameapa kula sahani moja na waandamanaji. Ila miji mingi hakutakuwa na hayo maandamano, labda kwenye majiji makubwa yenye watu wengi kama dar, mwanza na arusha kule watu wamepinda huwaambii kitu
 
Sie wengine tulioko maporini tukiishi maisha yetu ya kale tunaomba tusizimiwe internet siku hiyo, tuna biashara zetu tunafanya tupate mkate wa kula siku ipite, watuache tufanye biashara zetu
 
Hawako serious hawa, wakitaka maandamano ya uhakika, wapange kila siku game ya afcon ikipigwa tz watu ndo wanakiwasha...... ile mchanganyiko wa wageni na news outlet za nje ukiweka na maandamano hapo lazima pawake moto...... imagine unaweka lockdown siku ya ufunguzi wa afcon.... hapo lazima vichwa viume
 
wakitaka maandamano ya uhakika, wapange kila siku game ya afcon ikipigwa tz watu ndo wanakiwasha...... ile mchanganyiko wa wageni na news outlet za nje ukiweka na maandamano hapo lazima pawake moto...... imagine unaweka lockdown siku ya ufunguzi wa afcon.... hapo lazima vichwa viume
Nakazia ✍️
Hii itabamba sana na hawataweza kuzuia
 
Back
Top Bottom