The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Niko naandamana zangu kitambaa cheupe na Serengeti Zangu.
Kesho nalala kama mpumbavu.
Kesho nalala kama mpumbavu.
DuuhhUwezekano haupo lakini combats zimezagaa kila mtaa🤸🏽♀️
Hakuna anayeandamana tena hii nchi baada ya MO29. Hakuna na hatakuwepo tena.Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.
Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.
Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
Jiulize..Duuhh
Ngoja tusikilizieJiulize..
Na AFCON ndio imefanya haya maandamano ya sasa yasifanikiwe maana Kwasasa Wanalinda kwa kadri wawezavyo PICHA YA NCHI ISICHAFULIWEHawako serious hawa, wakitaka maandamano ya uhakika, wapange kila siku game ya afcon ikipigwa tz watu ndo wanakiwasha...... ile mchanganyiko wa wageni na news outlet za nje ukiweka na maandamano hapo lazima pawake moto...... imagine unaweka lockdown siku ya ufunguzi wa afcon.... hapo lazima vichwa viume
Ni kweli.Hakuna anayeandamana tena hii nchi baada ya MO29. Hakuna na hatakuwepo tena.