Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Wapo pia waliojidanganya baadae wakasema walishtukizwa!Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.
Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.
Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.