Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ni ukweli wa wazi , na ikifeli na hii itaua moraki ya maandamano kabisa hata ya Afcon itakosa power na hamasaHaya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.
Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.
Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
Taifa inabidi likombolewe hili.Kwahiyo umefurahi sasa? Unataka nani aandamane!?
Unamaanisha sikukuu ya 7/7 haipo?Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.
Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.
Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
Hata bila JWTZ, hakuna ambaye angeandamana.Hili lipo wazi, jamaa wamesukuma kete ya mwisho kwa kusema JWTZ haitalinda waandamanaji
Maandamano wakati mwingine ni tukio la kijasusi.Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.
Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.
Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
kwani 29 October walikuwa wana walinda waandamaji ?Hili lipo wazi, jamaa wamesukuma kete ya mwisho kwa kusema JWTZ haitalinda waandamanaji
serikali ndiyo inayakuza na kuyatangaza, ni sawa na kujiundia jinamizi kisha linaanza kukusumbua wewe mwenyewe uliyeliumba kwa imani yako.Nadhan maandamano ni serikali yenyewe ime amua kusema yapo, na yenyewe ina jua hayapo..
Ila ina yatumia kisiasa
Nakazia ✍️wakitaka maandamano ya uhakika, wapange kila siku game ya afcon ikipigwa tz watu ndo wanakiwasha...... ile mchanganyiko wa wageni na news outlet za nje ukiweka na maandamano hapo lazima pawake moto...... imagine unaweka lockdown siku ya ufunguzi wa afcon.... hapo lazima vichwa viume