Tusidanganyane :Sioni uwezekano wa watu kuandamana 7/7.

Ushawai kun'gatwa na nyoka?
Na vip baada ya hapo Jani likakugusa si utajua nyoka anakuja tena?
Ni ama kwa kujua au kutokujua, serikali ndiyo inayopepelea uwepo wa maandamano, inayapa promo sana wakati wananchi wengi hawana habari uwepo wa hayo maandamano
?
 
Sawa mbona hawa jamaa wanaweweseka ? Ile clip inayosemekana ni ya JWTZ umeiona ?

Matamko ya katambi na kina chalamila recently umeyasikia ? Kwa nn wana hofu ? Vp maaskari huko Road?
 
Serikali haya maandamo hata hayakuwepo literally wenyewe wameyapa publicity

Lakini maisha yatakuwa hivi daile mtu akisema maandamo viongozi wanakuwa panic attack
Nadhani ukiona Serikali inareact mpaka kupitia majeshi yake basi tishio lipo na reaction ni moja ya njia ya udhibiti. Hata yale yanayotangazwa na kufeli, sio kwamba yanafeli tu, ni vita ambayo serikali ilishinda, wanaharakati wakashindwa. Hili la tarehe 7 ni tishio jingine, na tishio lipo ndo maana unaona reaction.
 
Oktoba watu hawakujua serikali ita-react vipi,waliaminishana dola haiwezi kuwaua,dola ikaonesha namna gani ina shabaha, hakuna aliye tayari kufumuliwa kichwa mzoga wake ukarundikwe nje ya hospital
 
Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa.

Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana.

Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
Ulisema hivyo hivyo wakati wa uchaguzi ,
 
Wanaoratibu haya maansamano hawana akili.

Hawatoi mbinu au strategy za kuandamana. Hawatoi taarifa za kiintelijensia za upande wa pili.

Mata.k.o yao
Huwezi kutoa mbinu hadharani kwa adui ....Temebelea kurasa za kificho za DISCORD utapata mbinu zote
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
Kama hayatafanikiwa ni suala la muda yatakuja mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…