Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani akina Lissu na Mbowe hawakuwahi kuwa Wabunge? Walishinda kwa Tume ipi?
Haya mabadiliko ya Sheria hufanyikia wapi?
Sasa CHADEMA inao Wabunge wa kubadili Sheria kwa sasa?!
Acheni akili za kijinga!
Ukishakuwa mwanaccm kwani unakuwa na akili basi
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Mimi naona wewe ndiyo bwege la mwisho. Tanzania si ya kikundi Cha matapeli ya kijani. Tanzania ni ya watanzania. Watanzania wanayo haki ya kuzuia uchaguzi endapo wataona Kuna udanganyifu. Wajinga kama wewe ndiyo wanachelewesha maendeleo na reforms katika nchi yetu. Ni jinga peke Yake linaweza ona Kuna mazingira rafiki ya uchaguzi. Jinga kama wewe una faida Gani kwa nchi zaidi ya kufa uoze haraka wabaki werevu. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Mimi bado sijakuelewa kwani Tundu Lisu anataka Uraisi au anataka Tume huru ya uchaguzi. Kama alikuwa anataka uraisi si angeanzisha kikosi chake kama M23. Sote tumuunge mkono Lisu na CDM kuwe na tyme huru ya uchaguzi ili tupate viongozi halali wanaochaguliwa na wanachi hata kama watakuwa wa CCM.
 
Baada ya hapo akaenda kuapishwa na Ndugai 😀😀

Serikali yetu ina Watu Wengi 🐼
Huyo kwa sasa ni malaya wa kisiasa ndio maana alivuliwa uanachama au hujui hilo?

Rango yuko na wabunge hewa 19 wanatafuna pesa za walipa kodi na hawana chama.

Waliapishwa kwa baraka za mwendawazimu Magufuli na mwenzie Ndugai ili kuweza kukidhi vigezo vya mkopo wa jumuiya ya ulaya wenye kipengele cha demokrasia.
 
Mimi bado sijakuelewa kwani Tundu Lisu anataka Uraisi au anataka Tume huru ya uchaguzi. Kama alikuwa anataka uraisi si angeanzisha kikosi chake kama M23. Sote tumuunge mkono Lisu na CDM kuwe na tyme huru ya uchaguzi ili tupate viongozi halali wanaochaguliwa na wanachi hata kama watakuwa wa CCM.
Tundu Lissu amekuwa mbunge mara 2, kuanzia 201p-15 na 2015- 20. Je ni Tume gani ambayo ilimuwezesha kushinda??
 
Na wewe uneshindwa kumwelewa Lisu!!?hata clip ya dokta slaa pia ulishindwa kuielewa!!

Kule Monduli Kuna kiongozi wa mabaka pia alihamasisha wenzake kuhusu uchaguzi nayo hukuielewa!!?

Kifupi ni kwamba vyombo vya Dola havina msemaji wao kisiasa Kwa Sasa Lisu ndio anaweza kuwa speaker yao rasmi!!

Dola ndio hukipa chama dola kwa mbeleko ya uhalalishaji kupitia uchaguzi!Dola ikigawanyika nani apewe dola kunakua na vurugu na vurugu zitatishia uhai wa sisi ccm kushika dola!!!

Elewa!
Muda huu yupo bar hana akili kabisa
 
Tundu Lissu amekuwa mbunge mara 2, kuanzia 201p-15 na 2015- 20. Je ni Tume gani ambayo ilimuwezesha kushinda??
Inamaana uoni tofauti kati ya tume ya uchaguzi ya kikwete kurudi nyuma na tume ya magufuli kwenda mbele watanzania tuache unafiki vipunje vya njegere visitutoe ufahamu wote.. Afadhali hata wakati mwingi kama una akili kidogo unakaa kimya tu. Ukitetea upumbavu hata hao wanaokutuma wanakuona boya wala hawezi kumpa mtu boya Cheo chochote kwa sababu wanajua atawaibisha ndiyo maana wakitaka viongozi wanakuja upinzani wana warubuni kisha wanna wapa vyeo nyie mnaachwa hivyo hivyo.
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄

😂😂😂 kama ni sheria polisi kuiba chaguzi ni sheria gani?
Covid 19 kuwa bungeni ni sheria gani?

Tumieni Polisi lakini utakuwa chaguzi sio wa kirahisi rahisi tu. Ni mjinga gani ataenda kupiga kura kwa sheria hizi tena.
 
Reform zilishafanyika kupitia Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara Wakati huo nyie Chadema mlikuwa mnalamba Asali ya Maridhiano 😀
Hakuna reform zozote no reform no election. Ni bora muendelee bila chaguzi hizo pesa zikasaidie dawa za ukwimwi
 
Umesikia M23 wako wapi now?

Gaddafi alikuwa na mawazo kama hayo Leo Yuko wapi?

Sio kila kitu cha kutake for granted
Ukiambiwa uende porini unaweza wewe nyumbu!!?
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄

Kuna watu wapya wanaitwa Lissu na Heche. Mbowe hayupo jipangeni vizuri. Lissu anapedwa na kuaminika kuliko mwanasiasa yeyote kwa sasa. Mkichukilia poa powa itakula kwenu. Sheria zinaheshimika pale tu
Ambapo watekelezaji wanaziheshimu. Sasa sheria ziko wapi kwenye teka teka na wizi wa kura?Watanzania mnafikiri wana support Lissu kwa sababu gani hasa. Ni wajinga😂🤦🏾‍♂️
 
Labda anapendwa huko Ubelgiji lakini siyo hapa TZ. Mwambie aitishe Maandamano ya vurugu tuone kama atapata wafuasi wakutosha wa kumuunga mkono!
 
CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Mkuu Hao wabunge wanaenguliwa mapema hata kabla ya uchaguzi,, CCM wanapita Bila kupingwa,,au mwenzetu mgeni hapa nchini?...
 
Inamaana uoni tofauti kati ya tume ya uchaguzi ya kikwete kurudi nyuma na tume ya magufuli kwenda mbele watanzania tuache unafiki vipunje vya njegere visitutoe ufahamu wote.. Afadhali hata wakati mwingi kama una akili kidogo unakaa kimya tu. Ukitetea upumbavu hata hao wanaokutuma wanakuona boya wala hawezi kumpa mtu boya Cheo chochote kwa sababu wanajua atawaibisha ndiyo maana wakitaka viongozi wanakuja upinzani wana warubuni kisha wanna wapa vyeo nyie mnaachwa hivyo hivyo.
Ni lini nimewahi kuunga mkono uhayawani wa Magufuli? Hebu chukua time kusoma post zangu search "Stuxnet/ Magufuli" halafu uje urudi hapa.

Samia alitaka kufanya mambo mazuri immediately baada ya Magufuli kufariki na yeye kuapishwa kuchukua nchi.

Akaja na maridhiano, lakini ikawa ni CHADEMA iliyoharibu maridhiano kwa kupitia mropokaji wenu Tundu Lissu. Sasa mnalialia nini?
 
Tindu Lisso na Ubeligiji anaweza zuia uchaguzi usifanyike.
Nimeshangaa sana leo baada ya kuambiwa ana uraia pacha.
Ubelinginji na tznia.
 
Back
Top Bottom