Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Badilisheni sheria acheni janjajanja..Upinzani wamechagua timing nzuri,maana nchi nzima inalipuka.

Na wazuiaji watatoka tu kama wanaenda kupiga kura.Ko usalama hawawezi kuwafungia ndani kama wanavyofanyaga kwenye maandamano mengine.
Mavi ya kunguni tarehe 23/9/2024 ulikuwa wapi?ulikuwa unaandika kama hivi wewe ni muoga kama waoga wengine tu!
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
Haahaa ingeongozwa hata kwa nusu tu kikatiba, madai ya chadema Sijui kama yangewepo
 
Uzuri ni DOLA iko makini kuilinda Katiba na hii siyo kwa Uhuni wa Wapinzani tu bali hata alipokufa Shujaa Magufuli CDF alihakikisha anailinda Katiba ya JMT ya 1977 na marekebisho yake 🐼
Haahaa ungefanyika wizi wa kura?
 
Wenzao CCM wanajipanga na uchaguzi mkuu....wao mwaka huu wa uchaguzi mkuu wanafanya uchaguzi mkuu wa ndani sasa unajiuliza huo muda wa kujipanga kushinda urais ,ubunge na udiwani WANAUPATA WAPI ?!!

Ndugu Tundu Lissu asikimbie mapungufu yao kwa VISINGIZIO KOKO....

#Taifa Kwanza!
Hivi ccm wanajipanga kwa uchaguzi au uchafuzi?
 
wizi wa kura ni pambio la excuses , kama chama majimbo waliyoshinda hayafiki hata 50 % ya 1/3 ya viti vyote, ndyo unaamini urais alishinda pia? 😎
Mathematically inawezekana ila sio kwa stori ulioandika hapo, kimahesabu inawezekana sababu kura ya mbunge na kura ya raisi ni kura mbili tofauti alafu ni entities zisizotegemeana. Mkuu hukusomaga Algebra ? The study of equations and variable Ambayo ina probability na statistics ...
 
Endeleeni kumuamini, ila kikisanuka yeye anakwenda zake ubeberuni kwa mabwana zake kina Amsterdam huko Brussels
Hakika ndiyo ilivyo....mke na watoto wake wako hukohuko UBEBERUNI.....hana maana "selengepeni" !

#Amani na utulivu kwanza!
 
Ukisikia ubwege ni kama huu ulioandika.

Yaani unashindwa kujua kuwa katiba yetu inatamka wazi kuwa ni jukumu la kila raia kuzuia uhalifu unapoonekana ni dhahiri.

Wananchi wote wenye akili timamu na wazalendo wa kweli, tuungane kuzuia ushetani wa Mwenyekiti wa CCM na CCM.
No one will stop uchaguzi

Tafuteni kiki nyingine
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
images (1).jpeg
 
We andazi au kitumbua nani amekwambia lisu anata uraisi??mbona mnaweweseka yeye hataki ujambazi na uharamia kwenye uchaguzi kitu kiwe fair sio marefa wote wa kwenu ni upimbi ambao utavumiliwa na wachache bora kinuke.
Sawa matako nimekusikia. Ila tambua kuwa dunia hii hakuna fairness
 
CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Nadhani ww ni mkenya na hujawahi ishi tanzania tukianzia chaguzi ya awamu ya pili ya kikwete tukakushikisha biblia uapie kwa uhai wa mama yako mzazi ,tanzania kumewahi kuwa na uchaguzi huru??? Kabisa tuweke panga shingoni mwa wanao wa kwanza magufuli aliwahi shinda ?? Tuje uchaguzi wa juzi wa mitaa ,kulikuwa na uchaguzi??

Ccm huwa inawahonga nn ,mm mwana cc tena sio wa ww wa kutaka uteuzi ni ile kwa kuukuta home ,baba yangu alikuwa mfadhil mkoa miaka ya nyerere ccm .mama yangu ndo usiseme lakin hiyo haijaniharibia kusema ukwel daima kuwa tupo madarakan kwa matumizi ya DOLA TU.ila siasa tuliacha awamu ya pili ya kikwete (mungu ampe rehema huyu baba wa democracia) kuanzia hapo vilianza vituko .
Wapinzani wakigomea uchaguzi nawaelewa bila reforms wasifanye uchafuzi.
Ndo maana hata mama kajipitisha kihuni na mpaka leo amekosa IMANI NA WANACHAMA hatuhisi tena kumiliki chama bali makundi ya msoga na washirika wa mama .Shujaa wetu mzee yule wa arusha et wamemfukuza hawajui waliomtuma wako mezani mwao na wanakula nao
 
Tundu Lissu, ni msomi na anjua fika kuwa ni very unrealistic yeye kuja kuwa Rais wa JMT

..kwa tume hii ya uchaguzi kweli ni unrealistic Lissu kuwa Raisi.

..lakini kukiwa na Tume Huru na haki sawa wakati wa kampeni Samia Suluhu hawezi kupambana na Tundu Lissu.
 
Kwanza tume huru sio jambo la kuikalili tu,hiyo tume huru haigozwi na Malaika wa mbinguni wala Ummoja wa nchi za Ulaya au Marekani. Tume huru ni kundi la watu tena Watanzania wanaongoza taasisi ya serikali.Hakuna jambo jipya mpaka hapo.
Je nani atapima weledi wa tume hiyo kama si mahakama zetu?
Huko Kenya walijitambulisha kama wametunga katiba mpya na kuunda tume huru.
On paper tuliwaona wapo juu licha kucopy na kupaste katiba ya Marekani.
Lakini ebu twende reality check ni ngumi,mapambano ni maadamano ya kumwaga damu kwa maefu kila uchaguzi mkuu.
Ni vurungu kwa jina la tume huru,ni kusweka ndani na kuzota jela,ni kesi zisizoisha mahakama kuu kila uchaguzi na latest ni vurugu za Gen Z zilizopoteza maefu ya maisha na kupotea au kuangamiza mali za wananchi.
Hakuna tofauti ya mlalamika na mlalamikiwa,wote wakipata nafasi ni chumia tumboni,bora mimi akina pangu pakavu.Mwisho wamehamia makanisani kutumia nyumba za Mungu kuhubiri ukabila,umimi na uzandiki,ndio Kenya ya leo ambayo anadaiwa hadi kiama.
Ni siasa za kilaghai kwa jina la demokrasia.

Kwa kumalizia kutaja tu tume huru bila componets zake kuzipima kuona mapungufu yake,ndio mambo ya kila mara kuunda tume akina Warioba ambazo by the end of day hazifanyi kazi ni wastage of public monies.
Wake up.

..tume huru iundwe bila kuchelewa, na kama tatizo ni maadili ya hiki kizazi chetu, basi hata watoto wetu wanaweza kuja kufaidika nayo.
 
Usikariri ndugu.
Kwani kuna kifungu kinachohalalisha ghasia na mapinduzi kwenye nchi za Afrika magharibi?.
Mambo mengine hufanyika nje kabisa na katiba.
Kumbe wewe ni mchanga sana.
 
Watu wengi hawataenda kupiga kura na CCM watajiweka wenyewe madarakani na hapo ndo itakuwa mwisho wa CCM maana serkali yao haitatambulika na wananchi!
Wananchi wote kugoma kwenda kupiga kura Oktoba 2025 kutokana na elimu wanayopata kutoka kwa viongozi wa Chadema hii tayari ni mbinu ya kuzuia uchaguzi . Ccm mnaweza kulazimisha ushindi kwa wizi wa kura lakini wananchi watakuwa hawamtambui rais na serikali.Pia jumuiya ya kimataifa itakuwa hawamtambui rais.Muda ni mwalimu mzuri na huu ni wakati wa Lissu.
 
Mathematically inawezekana ila sio kwa stori ulioandika hapo, kimahesabu inawezekana sababu kura ya mbunge na kura ya raisi ni kura mbili tofauti alafu ni entities zisizotegemeana. Mkuu hukusomaga Algebra ? The study of equations and variable Ambayo ina probability na statistics ...
Hizo equations zitawachelewesha sana😁
 
Umesikia M23 wako wapi now?

Gaddafi alikuwa na mawazo kama hayo Leo Yuko wapi?

Sio kila kitu cha kutake for granted
Umemaliza narudia hakuna haluna na Raisi lazima lazima atoke CCM
 
Ni kama mchezo wa kuku na yai; Tume huru (in opposition’s favour) unaipataje bila kuwa na wabunge wengi bungeni?

Haya mambo ni magumu sana aisee.
Tatizo ni kwamba Magufuli kuna kamchezo kakihuni alikoanzisha ndani ya CCM kwamba mwanaccm asipochaguliwa ni mshindi na akichaguliwa ni mshindi tu. Hiyo ndiyo imeleta hali mbaya zaidi na imeshaanza kujionyesha kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka jana. Kwahiyo imeendelea hiyo hali tangia 2019
 
Back
Top Bottom