Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Pre GE2025 Tusidanganyane, Tanzania hakuna Mtu yeyote anayeweza kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huku Kuna Hoja, lkn wadau tayari wameshajaa mapovu! Muda bado ni rafiki nadhani kilio changu mimi ni Amani yangu hata kama nakula ugari kawa chumvi kwenye Amani.
 
Nice elaborations....

Wanataka kuiingiza nchi katika mateso ,vurugu na machafuko....

Hilo halikubaliki....

Wenye maono tuendelee kuwakumbusha vijana wenzetu kuwa kujenga mataifa ni kazi na kuyabomoa kama yanayoendelea Sudan ni PIGO MOJA TU.....

#Tuwakatae mamluki wa MABEBERU!
Mkuu wanataka madaraka bila kuyatafuta.
Huko nyuma sijui kwa kutoelewa au kwa ushamba au ulofa wakitaka vikwazo kwa masikini wa Tanzania as if wao sio wananchi wa Tanzania.

Sasa ukisikia mwananchi anaomba vikwazo vya kiuchumi kwa miradi ya maendeleo ya nchi yake ni wazi muombaji ni kichaa au mamluki au jasusi la nje au mwizi au sio raia wa nchi hii.

Hata hii Jamii Forum ni kama is compromised by ower fellow members.
Hivi ni mtu gani mwenye akili na weledi antashelekea weak mind na kutukuza chama cha upinzani ambacho wao wameamua kulala usingizi wa pono kuelekea uchaguzi mkuu wa October.
Lakini wakishindwa wanakuja na saga lumba za kuibiwa kura!
 
Wenzao CCM wanajipanga na uchaguzi mkuu....wao mwaka huu wa uchaguzi mkuu wanafanya uchaguzi mkuu wa ndani sasa unajiuliza huo muda wa kujipanga kushinda urais ,ubunge na udiwani WANAUPATA WAPI ?!!

Ndugu Tundu Lissu asikimbie mapungufu yao kwa VISINGIZIO KOKO....

#Taifa Kwanza!
 
Mkuu wanataka madaraka bila kuyatafuta.
Huko nyuma sijui kwa kutoelewa au kwa ushamba au ulofa wakitaka vikwazo kwa masikini wa Tanzania as if wao sio wananchi wa Tanzania.

Sasa ukisikia mwananchi anaomba vikwazo vya kiuchumi kwa miradi ya maendeleo ya nchi yake ni wazi muombaji ni kichaa au mamluki au jasusi la nje au mwizi au sio raia wa nchi hii.

Hata hii Jamii Forum ni kama is compromised by ower fellow members.
Hivi ni mtu gani mwenye akili na weledi antashelekea weak mind na kutukuza chama cha upinzani ambacho wao wameamua kulala usingizi wa pono kuelekea uchaguzi mkuu wa October.
Lakini wakishindwa wanakuja na saga lumba za kuibiwa kura!
Maarifa yametuongezekea....

Walewale walioiharibu /wanaoiharibu DRC ndio marafiki zake Tundu Lissu pale BRUSSELS.....

Ni ushirika wa akina Robert Amsterdam.....hatudanganyiki ng'ooo......

Trump ametuamsha tusiwe VIBARAKA wa mabeberu......

#JMT kwanza kwa njia yoyote iwayo!
 
Kwani akina Lissu na Mbowe hawakuwahi kuwa Wabunge? Walishinda kwa Tume ipi?
Haya mabadiliko ya Sheria hufanyikia wapi?
Sasa CHADEMA inao Wabunge wa kubadili Sheria kwa sasa?!
Acheni akili za kijinga!
Ni hatari sana kuwa na kiongozi mkuu asiyetabirika....

Ndg.Tundu Lissu anafanya harakati koko katika vyama vya siasa vinavyohitaji utulivu wa KIDIPLOMASIA......

Maoni ya wanachadema yaliyotolewa na katibu mkuu ndugu.Mnyika ni kubadili muda wa uchaguzi wao mkuu wa ndani usiendane na uchaguzi mkuu wa nchi ili wajipange vyema.....

Ndugu Lissu kaingia ofisini na kukuta maazimio hayo sasa kila akiwaangalia CCM ambao wamejipanga vyema na uchaguzi mkuu anapata HAMANIKO na woga wa uchaguzi......

Chadema waanze kuibadili katiba yao.....Tundu Lissu alikuwa mbunge kwa katiba hiihii ya JMT tuliyonayo......

#Taifa kwanza!
#Utulivu na amani !
 
Hoja ya Lissu sio yeye kutaka kuwa rais bali ni uchaguzi huru na wa haki hata kama mgombea hatokuwa yeye. Mabadiliko ni dhana. Unapoona ccm inatumia nguvu kubwa kujitafutia kukubalika kwa wananchi ni ishara tosha kuwa chama hicho kimepoteza mvuto. Kimebaki kutegemea mbeleko ya dola tu. Hoja ya Lissu ni ya kuungwa mkono na wapenda maendeleo wote.

Kama ccm inakubalika kwanini hawataki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
Endeleeni kumuamini, ila kikisanuka yeye anakwenda zake ubeberuni kwa mabwana zake kina Amsterdam huko Brussels
 
Kakutana na misukure yake ana bwabwaja kwa mihemko tu!
Badilisheni sheria acheni janjajanja..Upinzani wamechagua timing nzuri,maana nchi nzima inalipuka.

Na wazuiaji watatoka tu kama wanaenda kupiga kura.Ko usalama hawawezi kuwafungia ndani kama wanavyofanyaga kwenye maandamano mengine.
 
Unadhani wanaofuatilia chaguzi ni watu wa nchi yako tu?
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
eti kibaka na omba omba pesa wa singinda anawadanganya wafuasia wake kama mazuzu,

eti atazuia uchaguzi na uchaguzi huo haujafanyika dah!🐒
 
Hili swala si la Chadema ni la wananchi wenye kutaka haki.Wanachofanya chadema ni kuelimisha wananchi jinsi maamuzi yao ktk kupiga kura yanavyopuuzwa.Wananchi ndo wanaochagua viongozi wao
 
Tuupe muda nafasi na kumbuka maneno huumba, mbaya zaidi yakirudiwa mara nyingi katika umma hata kama jambo lilikuwa halitekelezeki litatekelezeka kulingana na imani iliyojengeka miongoni mwa wengi.
 
Hao wabunge wengi wanapatikanaje bila tume huru? Ndivyo mnavyojidanganya?
Ni kama mchezo wa kuku na yai; Tume huru (in opposition’s favour) unaipataje bila kuwa na wabunge wengi bungeni?

Haya mambo ni magumu sana aisee.
 
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
We andazi au kitumbua nani amekwambia lisu anata uraisi??mbona mnaweweseka yeye hataki ujambazi na uharamia kwenye uchaguzi kitu kiwe fair sio marefa wote wa kwenu ni upimbi ambao utavumiliwa na wachache bora kinuke.
 
Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Huu ni ukweli mchungu!
 
Uchaguzi ufanyike baada ya mabadiliko ya Katiba Ili kuruhusu Tume huru ya Uchaguzi.

Huelewi nn mjomba?
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT

Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu

Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege

Ahsanteni sana 😄
We ni mgeni Tanzania katiba hiyohiyo na sheria hizohizo kutwa zinavunjwa na hao watawala na hamkemei. Aliyewanyima akili watanzania ni nani?
 
Kwani sheria na hiyo Katiba chakavu ilishushwa na mitume?
 
Back
Top Bottom