baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 398
- 544
Huku Kuna Hoja, lkn wadau tayari wameshajaa mapovu! Muda bado ni rafiki nadhani kilio changu mimi ni Amani yangu hata kama nakula ugari kawa chumvi kwenye Amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wanataka madaraka bila kuyatafuta.Nice elaborations....
Wanataka kuiingiza nchi katika mateso ,vurugu na machafuko....
Hilo halikubaliki....
Wenye maono tuendelee kuwakumbusha vijana wenzetu kuwa kujenga mataifa ni kazi na kuyabomoa kama yanayoendelea Sudan ni PIGO MOJA TU.....
#Tuwakatae mamluki wa MABEBERU!
Maarifa yametuongezekea....Mkuu wanataka madaraka bila kuyatafuta.
Huko nyuma sijui kwa kutoelewa au kwa ushamba au ulofa wakitaka vikwazo kwa masikini wa Tanzania as if wao sio wananchi wa Tanzania.
Sasa ukisikia mwananchi anaomba vikwazo vya kiuchumi kwa miradi ya maendeleo ya nchi yake ni wazi muombaji ni kichaa au mamluki au jasusi la nje au mwizi au sio raia wa nchi hii.
Hata hii Jamii Forum ni kama is compromised by ower fellow members.
Hivi ni mtu gani mwenye akili na weledi antashelekea weak mind na kutukuza chama cha upinzani ambacho wao wameamua kulala usingizi wa pono kuelekea uchaguzi mkuu wa October.
Lakini wakishindwa wanakuja na saga lumba za kuibiwa kura!
Kwani akina Lissu na Mbowe hawakuwahi kuwa Wabunge? Walishinda kwa Tume ipi?Hao wabunge wengi wanapatikanaje bila tume huru? Ndivyo mnavyojidanganya?
Ni hatari sana kuwa na kiongozi mkuu asiyetabirika....Kwani akina Lissu na Mbowe hawakuwahi kuwa Wabunge? Walishinda kwa Tume ipi?
Haya mabadiliko ya Sheria hufanyikia wapi?
Sasa CHADEMA inao Wabunge wa kubadili Sheria kwa sasa?!
Acheni akili za kijinga!
Endeleeni kumuamini, ila kikisanuka yeye anakwenda zake ubeberuni kwa mabwana zake kina Amsterdam huko BrusselsHoja ya Lissu sio yeye kutaka kuwa rais bali ni uchaguzi huru na wa haki hata kama mgombea hatokuwa yeye. Mabadiliko ni dhana. Unapoona ccm inatumia nguvu kubwa kujitafutia kukubalika kwa wananchi ni ishara tosha kuwa chama hicho kimepoteza mvuto. Kimebaki kutegemea mbeleko ya dola tu. Hoja ya Lissu ni ya kuungwa mkono na wapenda maendeleo wote.
Kama ccm inakubalika kwanini hawataki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
Badilisheni sheria acheni janjajanja..Upinzani wamechagua timing nzuri,maana nchi nzima inalipuka.Kakutana na misukure yake ana bwabwaja kwa mihemko tu!
eti kibaka na omba omba pesa wa singinda anawadanganya wafuasia wake kama mazuzu,Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana 😄
Ni kama mchezo wa kuku na yai; Tume huru (in opposition’s favour) unaipataje bila kuwa na wabunge wengi bungeni?Hao wabunge wengi wanapatikanaje bila tume huru? Ndivyo mnavyojidanganya?
We andazi au kitumbua nani amekwambia lisu anata uraisi??mbona mnaweweseka yeye hataki ujambazi na uharamia kwenye uchaguzi kitu kiwe fair sio marefa wote wa kwenu ni upimbi ambao utavumiliwa na wachache bora kinuke.Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Halima Mdee tu? Wanaamini eti Lissu alimshinda Mwamba Magufuli 2020! Ahahahahaha! Hawa Chadema ni vichaa!!Uliamini Halima Mdee aliibiwa Kura Kawe? 😂😂😂
Huu ni ukweli mchungu!Kimsingi Tundu Lissu asijidanganye kujipa matumaini ya kuwa eti siku moja atakuwa Rais wa Tanzania. ASIJIDANGANYE kabisa, maana tulikuwa na watu WAROPOKAJI na maarufu kuliko yeye na waliishia kuiona Ikulu wakiwa wanakatiza kwenye ferry au wakienda wizara ya elimu pale Magogoni. Mfano ni Christopher Mtikila, Agustino Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Maalim Seif Shariff Hamad etc
Hili swali muhimu.Ila ipo sheria inaruhusu wizi wa kura?
We ni mgeni Tanzania katiba hiyohiyo na sheria hizohizo kutwa zinavunjwa na hao watawala na hamkemei. Aliyewanyima akili watanzania ni nani?Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana 😄