johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Lisu na Shujaa wanafanana Sana 🐼🤣Halima Mdee tu? Wanaamini eti Lissu alimshinda Mwamba Magufuli 2020! Ahahahahaha! Hawa Chadema ni vichaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu na Shujaa wanafanana Sana 🐼🤣Halima Mdee tu? Wanaamini eti Lissu alimshinda Mwamba Magufuli 2020! Ahahahahaha! Hawa Chadema ni vichaa!!
Katiba gani ya kubadilisha? Aliyekwambia ina mapungufu nani?Uchaguzi ufanyike baada ya mabadiliko ya Katiba Ili kuruhusu Tume huru ya Uchaguzi.
Huelewi nn mjomba?
Mavi ya kunguni tarehe 23/9/2024 ulikuwa wapi?ulikuwa unaandika kama hivi wewe ni muoga kama waoga wengine tu!Badilisheni sheria acheni janjajanja..Upinzani wamechagua timing nzuri,maana nchi nzima inalipuka.
Na wazuiaji watatoka tu kama wanaenda kupiga kura.Ko usalama hawawezi kuwafungia ndani kama wanavyofanyaga kwenye maandamano mengine.
Haahaa ingeongozwa hata kwa nusu tu kikatiba, madai ya chadema Sijui kama yangewepoTanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana 😄
Haahaa ungefanyika wizi wa kura?Uzuri ni DOLA iko makini kuilinda Katiba na hii siyo kwa Uhuni wa Wapinzani tu bali hata alipokufa Shujaa Magufuli CDF alihakikisha anailinda Katiba ya JMT ya 1977 na marekebisho yake 🐼
Hivi ccm wanajipanga kwa uchaguzi au uchafuzi?Wenzao CCM wanajipanga na uchaguzi mkuu....wao mwaka huu wa uchaguzi mkuu wanafanya uchaguzi mkuu wa ndani sasa unajiuliza huo muda wa kujipanga kushinda urais ,ubunge na udiwani WANAUPATA WAPI ?!!
Ndugu Tundu Lissu asikimbie mapungufu yao kwa VISINGIZIO KOKO....
#Taifa Kwanza!
Mathematically inawezekana ila sio kwa stori ulioandika hapo, kimahesabu inawezekana sababu kura ya mbunge na kura ya raisi ni kura mbili tofauti alafu ni entities zisizotegemeana. Mkuu hukusomaga Algebra ? The study of equations and variable Ambayo ina probability na statistics ...wizi wa kura ni pambio la excuses , kama chama majimbo waliyoshinda hayafiki hata 50 % ya 1/3 ya viti vyote, ndyo unaamini urais alishinda pia? 😎
Hakika ndiyo ilivyo....mke na watoto wake wako hukohuko UBEBERUNI.....hana maana "selengepeni" !Endeleeni kumuamini, ila kikisanuka yeye anakwenda zake ubeberuni kwa mabwana zake kina Amsterdam huko Brussels
Unataka aende wapi, Kizimkazi au Oman?Endeleeni kumuamini, ila kikisanuka yeye anakwenda zake ubeberuni kwa mabwana zake kina Amsterdam huko Brussels
No one will stop uchaguziUkisikia ubwege ni kama huu ulioandika.
Yaani unashindwa kujua kuwa katiba yetu inatamka wazi kuwa ni jukumu la kila raia kuzuia uhalifu unapoonekana ni dhahiri.
Wananchi wote wenye akili timamu na wazalendo wa kweli, tuungane kuzuia ushetani wa Mwenyekiti wa CCM na CCM.
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali Kudanganywa Kibwege bwege
Ahsanteni sana 😄
Sawa matako nimekusikia. Ila tambua kuwa dunia hii hakuna fairnessWe andazi au kitumbua nani amekwambia lisu anata uraisi??mbona mnaweweseka yeye hataki ujambazi na uharamia kwenye uchaguzi kitu kiwe fair sio marefa wote wa kwenu ni upimbi ambao utavumiliwa na wachache bora kinuke.
Nadhani ww ni mkenya na hujawahi ishi tanzania tukianzia chaguzi ya awamu ya pili ya kikwete tukakushikisha biblia uapie kwa uhai wa mama yako mzazi ,tanzania kumewahi kuwa na uchaguzi huru??? Kabisa tuweke panga shingoni mwa wanao wa kwanza magufuli aliwahi shinda ?? Tuje uchaguzi wa juzi wa mitaa ,kulikuwa na uchaguzi??CHADEMA kama watu wasiokuwa na akili vile.
Badala ya kutafuta hoja zinazoweza kuwapa ajenda za maana na hatimaye kupata Wabunge wengi wanaoweza kwenda kuleta impact Bungeni kuelekea 2530!
"Mvuvi asiye na maarifa hajui kutumia upepo unaoweza kumsaidia kusukuma jahazi lake"!
CHADEMA Haina uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu 2025!
Tundu Lissu, ni msomi na anjua fika kuwa ni very unrealistic yeye kuja kuwa Rais wa JMT
Kwanza tume huru sio jambo la kuikalili tu,hiyo tume huru haigozwi na Malaika wa mbinguni wala Ummoja wa nchi za Ulaya au Marekani. Tume huru ni kundi la watu tena Watanzania wanaongoza taasisi ya serikali.Hakuna jambo jipya mpaka hapo.
Je nani atapima weledi wa tume hiyo kama si mahakama zetu?
Huko Kenya walijitambulisha kama wametunga katiba mpya na kuunda tume huru.
On paper tuliwaona wapo juu licha kucopy na kupaste katiba ya Marekani.
Lakini ebu twende reality check ni ngumi,mapambano ni maadamano ya kumwaga damu kwa maefu kila uchaguzi mkuu.
Ni vurungu kwa jina la tume huru,ni kusweka ndani na kuzota jela,ni kesi zisizoisha mahakama kuu kila uchaguzi na latest ni vurugu za Gen Z zilizopoteza maefu ya maisha na kupotea au kuangamiza mali za wananchi.
Hakuna tofauti ya mlalamika na mlalamikiwa,wote wakipata nafasi ni chumia tumboni,bora mimi akina pangu pakavu.Mwisho wamehamia makanisani kutumia nyumba za Mungu kuhubiri ukabila,umimi na uzandiki,ndio Kenya ya leo ambayo anadaiwa hadi kiama.
Ni siasa za kilaghai kwa jina la demokrasia.
Kwa kumalizia kutaja tu tume huru bila componets zake kuzipima kuona mapungufu yake,ndio mambo ya kila mara kuunda tume akina Warioba ambazo by the end of day hazifanyi kazi ni wastage of public monies.
Wake up.
Wananchi wote kugoma kwenda kupiga kura Oktoba 2025 kutokana na elimu wanayopata kutoka kwa viongozi wa Chadema hii tayari ni mbinu ya kuzuia uchaguzi . Ccm mnaweza kulazimisha ushindi kwa wizi wa kura lakini wananchi watakuwa hawamtambui rais na serikali.Pia jumuiya ya kimataifa itakuwa hawamtambui rais.Muda ni mwalimu mzuri na huu ni wakati wa Lissu.
Hizo equations zitawachelewesha sana😁Mathematically inawezekana ila sio kwa stori ulioandika hapo, kimahesabu inawezekana sababu kura ya mbunge na kura ya raisi ni kura mbili tofauti alafu ni entities zisizotegemeana. Mkuu hukusomaga Algebra ? The study of equations and variable Ambayo ina probability na statistics ...
Umemaliza narudia hakuna haluna na Raisi lazima lazima atoke CCMUmesikia M23 wako wapi now?
Gaddafi alikuwa na mawazo kama hayo Leo Yuko wapi?
Sio kila kitu cha kutake for granted
Tatizo ni kwamba Magufuli kuna kamchezo kakihuni alikoanzisha ndani ya CCM kwamba mwanaccm asipochaguliwa ni mshindi na akichaguliwa ni mshindi tu. Hiyo ndiyo imeleta hali mbaya zaidi na imeshaanza kujionyesha kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka jana. Kwahiyo imeendelea hiyo hali tangia 2019Ni kama mchezo wa kuku na yai; Tume huru (in opposition’s favour) unaipataje bila kuwa na wabunge wengi bungeni?
Haya mambo ni magumu sana aisee.