Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

Usicheke mkuu goma la siku moja linakwara 150K
Mkuu 150k ni nyingi Sana kwa sisi waungaji wa "blue collar jobs"....kwa "haves" wala sio inshu as money flows according to their wishes.....

Duuh kwa hyo 150k inaondoka tu kwa sababu ya kuonyesha umwamba wa Kasongo Mpango a.k.a Mbutururu Moto wa Lubumbashi ?!! 🤣🤣mmh
 
Boredom ,vanity , loneliness ,uvivu wa kufikiri are the causes of promisquity and the "LUST" being the least cause.....
Mi naona ni uvivu wa kufikiri na tamaa ndio vinadidimiza watu....loneliness and boredom hapana tuna ujamaa sana,kusaidiana na ukaribu na familia....ukiishi nchi za watu ndo utajua loneliness ni nini.....
 
Well said.....

Ila unajua nn?

Kwani loneliness ni kitu cha nje tu na kinachohusisha ukosefu wa jamaa na masela?!!!

Loneliness inaweza kuwa ndani ya nafsi....then don't forget some of the folks are INTROVERTS....
 
Mkuu 150k ni nyingi Sana kwa sisi waungaji wa "blue collar jobs"....kwa "haves" wala sio inshu as money flows according to their wishes.....

Duuh kwa hyo 150k inaondoka tu kwa sababu ya kuonyesha umwamba wa Kasongo Mpango a.k.a Mbutururu Moto wa Lubumbashi ?!! 🤣🤣mmh
Hakuna pesa inayotumika vibaya kama ile ambayo inaingia bila kuwa na mipango nayo. Huwezi kufanya ujinga huu kwa kutumia MSHAHRA hata kama NET INCOME isome 1M+

Ila kwa zile zinatokeaga tu zenyewe hii mbona inafanyika tu mkuu
 
Pesa makaratasi, utaipata ingine
 
Hakuna pesa inayotumika vibaya kama ile ambayo inaingia bila kuwa na mipango nayo. Huwezi kufanya ujinga huu kwa kutumia MSHAHRA hata kama NET INCOME isome 1M+

Ila kwa zile zinatokeaga tu zenyewe hii mbona inafanyika tu mkuu
Hakuna pesa isiyokuwa na mipango ndugu, unadhani hata kama unapata net income 1m kwenye chakula, mavazi na malazi ukisema upate yote haya kwa inavyostahiki itatosha..tukubali Zinaa ndo tatizo
 
Sure man....

Mfano zile BUMU za HESLB....madogo recently wameongezewa buku 10...aiseee....

Ila all and all inategemeana na hulka ya mtu mwana....kuna watu wanapenda hizo mambo kupita kiasi...kupita kiasi....na wengine inawaathiri kiuchumi mpaka kwa vitoto vyao na kuwa majuto baadae......
 
"Wakikua watanitafuta wenyewe"

walimwengu : Kimya

Wakishakua wasimtafute na akapata sababu ya kuwatafuta na akakataliwa

Walimwengu : watoto washalishwa sumu na mama zao, hatafanikiwa zaidi kwa laana ya baba yake yule na anaanzaje kumkataa baba yake aliemzaa
🤣🤣
 
Hakuna pesa isiyokuwa na mipango ndugu, unadhani hata kama unapata net income 1m kwenye chakula, mavazi na malazi ukisema upate yote haya kwa inavyostahiki itatosha..tukubali Zinaa ndo tatizo
Sawa mkuu, kila mtu yupo tofauti kwenye matumizi, mi Ikiingia 100k ambayo haipo kwenye mshahara, madeni huwa naitumia vile naona itafaa naweza kuipiga kiberiti na washkaji na hainiumi. Kama Mashahara, other allowances, extra duty/overtime nk zinazofahamika.

Ushawahi kuona VIBE la madalali wa magari wakimpiga mtu. wanaweza nunua kaunta nzima ya bar.

Ila kama wewe kila matumizi yako ni "BY THE BOOK" Its Okay
 
Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k

Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata 😀 😀 😀
Wakati hiyo ten tu ya nauli anapiga mbususu mbili(dasi per each) zile za ku-sort kiroadroad....

Kuna kajamaa kakaopoa limalaya kakatoa elfu arobaini...wakati lile limlupo watu wanapiga kwa elfu tano tano kwa short-time kulala mpaka ten....kuna demu wewe unatoa hela wakati mkali flani anapiga bure ....
 
Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k

Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata 😀 😀 😀
Si unaona akili zilipokomea 😅😅😅
 
Sawa mkuu, kila mtu yupo tofauti kwenye matumizi, mi Ikiingia 100k ambaya haipo kwenye mshahara, madeni huwa naitumia vile naona itafaa naweza kuipiga kiberiti na washkaji na hainiumi

Kama Mashahara, allowances, extraduty/overtime nk

Ushawahi kuona VIBE la madalali wa magari wakimpiga mtu. wanaweza nunu kaunta nzima ya bar.

Ila kama wewe kila matumizi yako ni "BY THE BOOK" Its Okay
🤣🤣
Nakupata pal....
 
Wakati hiyo ten tu ya nauli anapiga mbususu mbili(dasi per each) zile za ku-sort kiroadroad....

Kuna kajamaa kakaopoa limalaya kakatoa elfu arobaini...wakati lile limlupo watu watu wanapiga kwa elfu tano tano kwa short-time kulala mpaka ten....kuna demu wewe unatoa hela wakati mkali flani anapiga bure ....
Aliotewa tu.
 
Back
Top Bottom