Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

Si unaona akili zilipokomea 😅😅😅
Ivi mademu wanapokuwa wanawapiga bucks nyingi masela kwa one night stand mfano uliotolewa hapo juu....let's say 200K ama 300K.. then wanawachukulia na kuwaona timilifu kweli vichwani ?!! I mean wanathaminishaje "vitendo vichache" na mipesa yote hiyo kwa muda mfupi?!!!

Do they thing such men are naive ,washamba smarts ama beta males and not alpha ones?!!!
 
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.

Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.

Kama unapinga pinga kwa hoja.
Kipindi hiki chovyachovya imechachamaa, visichana vidogo sana unakuta vinatoka guest house na wababa wenye ndoa zao
 
Ivi mademu wanapokuwa wanawapiga bucks nyingi masela kwa one night stand mfano uliotolewa hapo juu....let's say 200K ama 300K.. then wanawachukulia na kuwaona timilifu kweli vichwani ?!! I mean wanathaminishaje "vitendo vichache" na mipesa yote hiyo kwa muda mfupi?!!!

Do they thing such men are naive ,washamba smarts ama beta males and not alpha ones?!!!
Washamba na beta males 😅😅😅 mwanaume smart anajua kuitumia hela yake ili iongezeke double/tripple sio unaitupa tu kirahisirahisi hivo....tena hao wadada wanawachora kichizi wanaume wa aina hio laiti wangelijua lol ndo mpaka wakapewa jina "mabuzi" 🤣🤣🤣 wenyewe wanajiona smart mtu mfano ana mke ikisha ana wanawake wengine 2-3 wakuwahonga dah 😅 kwa hali hii umaskini hauishi mpaka tubadili mindset na tuepukane na wimbi la umaskini wa akili!Umaskini sio wa hela tu bandugu!
 
Sawa mkuu, kila mtu yupo tofauti kwenye matumizi, mi Ikiingia 100k ambayo haipo kwenye mshahara, madeni huwa naitumia vile naona itafaa naweza kuipiga kiberiti na washkaji na hainiumi. Kama Mashahara, other allowances, extra duty/overtime nk zinazofahamika.

Ushawahi kuona VIBE la madalali wa magari wakimpiga mtu. wanaweza nunua kaunta nzima ya bar.

Ila kama wewe kila matumizi yako ni "BY THE BOOK" Its Okay
Kipindi unafanya yote haya familia yako imejitosheleza ama ndugu ama wazazi....? Ndo maana nasema umasikin kwa maana unaakisi pengi, pesayoivuruga hvyo leo iliwezekana ukampa support ndugu kibiashara...
 
Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k

Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata 😀 😀 😀
Dah... ni uvivu tu wa kufikiri...hiyo 250k aliyoipata anajua imetoka wapi? Tunalialia hakuna mzunguko wa pesa mtaani wakati sisi wenyewe tunaugandisha uchumi. Hapo dereva kapata ajira....mpishi/waita wamepata mshahara...serikali umepata Kodi...na kikubwa kabisa naye "kachangamsha mwili"
Cha msingi abuni mbinu mpya apate 500k....aagize wapya...wawili...
Tushirikiane kuchangamsha uchumi🤭
 
Maskini hawataisha kwa kuwasaidia ela.

NB: sisapoti umalaya ila, pambana uone kama unaweza kumtosheleza kila ndugu mihutaji na ukatoboa

Kum 15:11 SUV​

Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.
 
Washamba na beta males 😅😅😅 mwanaume smart anajua kuitumia hela yake ili iongezeke double/tripple sio unaitupa tu kirahisirahisi hivo....tena hao wadada wanawachora kichizi wanaume wa aina hio laiti wangelijua lol ndo mpaka wakapewa jina "mabuzi" 🤣🤣🤣 wenyewe wanajiona smart mtu mfano ana mke ikisha ana wanawake wengine 2-3 wakuwahonga dah 😅 kwa hali hii umaskini hauishi mpaka tubadili mindset na tuepukane na wimbi la umaskini wa akili!Umaskini sio wa hela tu bandugu!
😲😲Ooo kumbe wanaonekana ni BETA MALES ?!! Yeeeluwiiii 🤣🤣

Itakuwa wanawadharau sana.....Sana daah 🤣🤣

Alpha males have ego bandugu !
 
Dah... ni uvivu tu wa kufikiri...hiyo 250k aliyoipata anajua imetoka wapi? Tunalialia hakuna mzunguko wa pesa mtaani wakati sisi wenyewe tunaugandisha uchumi. Hapo dereva kapata ajira....mpishi/waita wamepata mshahara...serikali umepata Kodi...na kikubwa kabisa naye "kachangamsha mwili"
Cha msingi abuni mbinu mpya apate 500k....aagize wapya...wawili...
Tushirikiane kuchangamsha uchumi🤭
Jamaa analalamika wewe unampongeza? 🙂 🙂 🙂
 
Mpaka kuna kitu nimekifikiria hivi hawa wanaodanga ili wahongwe si wanatumia miili yao kupata pesa in return sasa wao wanatofauti gani na malaya au kwasababu hawasimami barabarani/kwenye mitaa ya malaya??Au ndio malaya wenye hadhi?
Maana mwanaume anakupa pesa kwasababu anataka huduma fulani kwako...
 
Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k

Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata 😀 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thailand Pattaya Kuna ngono sio poa, tena commercial ngono ya kila aina kwanzia straight mpaka ma ladyboy lakini hakuna umaskini kama bongo.

Usitupangie
Au aende Roppongi Tokyo ndio ataona jinsi vidudu vinatumika balaa Ila hakuna huo umasikini. Sema mademu wa bongo wanajitegesha kuzaa hovyo, wakishalima una vihela kidogo basi anaona ndio mtaji.

Kwa wenzetu ni strictly business. Unakula Lisa's lako au muda uliolipia then unasepa na hakuna kula bila kutumia maganda.
 
Umesema commercial ni biashara,na wanafanya biashara hio kwaajili ya umaskini kama zilivyo nchi nyingenezo maskini .

Thailand ni nchi yenye utalii vilevile kwahio wazungu wengi huenda huko kununua malaya(kuridhisha) ham zao za ngono na vilevile kuwa in vaccay na hukohuko asilimia kubwa wanabeba ukimwi na kuurudisha makwao,thailand ni maskini ila wao ni wachapakazi mno hata wazungu wakitaka wake submissive wanawafata Thailand....ila ukimwi unaongezeko kubwa huko kwaajili ya sextrade!

Watanzania wanajibweteka na kuweka ngono mbele inarudisha nyuma maendeleo hata walooa malaya wakutupwa kila mtu na danga lake,akili zimedumaa kufikiria ngono...mtu siku nzima anakaa anawaza kumvua chupi mtu baadala ya maarifa ya kuongeza kipato!!
Ukweli mtupu huu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka kuna kitu nimekifikiria hivi hawa wanaodanga ili wahongwe si wanatumia miili yao kupata pesa in return sasa wao wanatofauti gani na malaya au kwasababu hawasimami barabarani/kwenye mitaa ya malaya??Au ndio malaya wenye hadhi?
Maana mwanaume anakupa pesa kwasababu anataka huduma fulani kwako...
Ila ndugu yangu.....

Inasemekana humu mijini na mitaani tunakoishi....smart4n zimerahisisha sana....wako wengi tu na heshima zao wanajifungia ndani tu na hata ROADS Kama Bamaga and alike hawasimami......biashara hiyo kongwe inafanywa sana...tena Sana....tena mno na hata WASIOFIKIRIWA...🤣🤣
 
Back
Top Bottom