Saint_Mwakyoma JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 864 Reaction score 1,226 Jul 11, 2021 #121 Auz said: Zinaa imeteka akili za ubunifu kabisa! Watanzania ni wajanja katika kutengeneza mazingira ya kula tunda kimasihara kuliko kujikwamua kwenye lindi la umasikini na ujinga! Click to expand... Mkuu mbona umeingiza kimasihara jamani......... Masihara yana save mpunga kuliko longtime dating when wewe ndio financial core
Auz said: Zinaa imeteka akili za ubunifu kabisa! Watanzania ni wajanja katika kutengeneza mazingira ya kula tunda kimasihara kuliko kujikwamua kwenye lindi la umasikini na ujinga! Click to expand... Mkuu mbona umeingiza kimasihara jamani......... Masihara yana save mpunga kuliko longtime dating when wewe ndio financial core
Carnivora JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,644 Reaction score 6,028 Jul 11, 2021 #122 Mtoa mada we usifanye zinaa uwe tajiri. Sawa?
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,298 Reaction score 47,337 Jul 11, 2021 #123 Darmian said: Kuleni bia nyie... Click to expand... Vipi wale ma escort / call girls wako
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,315 Reaction score 46,858 Jul 11, 2021 #124 Maghayo said: Vipi wale ma escort / call girls wako Click to expand... Bado naendelea kuwamenya kila ninapopata extra cash mkuu..si unajua huku bongo hela hamna tunasaga lami tu?
Maghayo said: Vipi wale ma escort / call girls wako Click to expand... Bado naendelea kuwamenya kila ninapopata extra cash mkuu..si unajua huku bongo hela hamna tunasaga lami tu?
S Saveya JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 3,640 Reaction score 3,886 Jul 9, 2025 #125 Duh kama kweli vile