Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

Uganda nitatoka ama 2026 au 2028 au hata 2030 kutegemea na Baraka zake Mwenyezi Mungu ila Desemba nitakuwa Kijijini Musoma (Butiama) na April mwakani (2025) nitarejea Dar es Salaam na Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani kwa Likizo fupi kama ya Wiki Mbili hivi kisha narejea tena hapa Uganda ambako nafanya Kazi Kubwa na Muhimu ya Kuiheshimisha nchi yangu Mama ya Tanzania baada ya Mimi pia kupewa Heshima Kubwa sana ambayo sikuwahi hata Siku Moja kutegemea kama ningeipata. Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu.
vp mkuu unaweza ukaniunganisha na wakuu wa taasisi hiyo uliyopo na mimi nikapata kazi hata ya kufyeka tu uwanja? (serious)
 
Watu bhana, Simba blue ni ziada lakini nyeupe na nyekundu zipo. Sasa yanga imetoka kwenye Rangi zake kbsaa, njano hakuna sasa hvi Kuna gold. Kijani sio Ile ya asili. Ndo tunachouliza kwanini mmebadilisha Rangi za asili!??
jibu ni ndiyo tumehama kuna lingine mpenzi?
 
Ndio Nauliza iyo rangi ya bluu imetoka wapi, ata kama ya ziada mbona haipo katika rangi za asili zitumiwazo na Simba!!
 
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.

Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
Umeanza kuifanya kazi yako unayoijua vema. Halafu baadaye ujiite ni mnazi wa Simba. Hamia huko Yanga faster. Haya tangu Barbara aondoshwe kwa kumsagia kunguni, Simba imechukua vikombe vingapi vya ligi na CAF
 
Watu bhana, Simba blue ni ziada lakini nyeupe na nyekundu zipo. Sasa yanga imetoka kwenye Rangi zake kbsaa, njano hakuna sasa hvi Kuna gold. Kijani sio Ile ya asili. Ndo tunachouliza kwanini mmebadilisha Rangi za asili!??
Hakuna ulazima wa kutumia rangi zile zile kila siku
 
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.

Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
Kwa hiyo hata lile zigo la kichina la yule model wenu hujalielewa.
 
Uganda nitatoka ama 2026 au 2028 au hata 2030 kutegemea na Baraka zake Mwenyezi Mungu ila Desemba nitakuwa Kijijini Musoma (Butiama) na April mwakani (2025) nitarejea Dar es Salaam na Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani kwa Likizo fupi kama ya Wiki Mbili hivi kisha narejea tena hapa Uganda ambako nafanya Kazi Kubwa na Muhimu ya Kuiheshimisha nchi yangu Mama ya Tanzania baada ya Mimi pia kupewa Heshima Kubwa sana ambayo sikuwahi hata Siku Moja kutegemea kama ningeipata. Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu.
Kuchunga mifugo umeacha?

Kweli ashukuriwe Mungu
 
Hivi unajua kuwa nakujua A to Z kuwa upo TISS na hata Mimi pia unanijua Z to A? Huku nilipo hakuna Mapori ya Kufyeka.
hahahaha! mimi sio TISS kama wengi wanavyonidhania bali ni Gen Z wa kibongo niliyepigwa na maisha. msalimie mseven mwambie nami nipo mbioni kuja huko uganda kumfuatilia streika hatari kutoka hapo nchini kwake aje kumuongezea nguvu Prince M Dube.
 
Back
Top Bottom