Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa..

Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
 
Sasa upo na kishundu kama cha king of Squirt unaitwaje kuwa mwanaume?

Juma Lokole unamjumuisha vipi kwenye orodha ya wanaume?
 
Na sisi tunaujua ukweli almost karibia wanawake wote vijana Kwa sasa kasoro labda ndugu zangu tu wanauza uchi direct or indirect.. Maokoto tunayo sisi Kwa hiyo wanaongea tu wamechanganyikiwa na kausha damu na hali ngumu ila wanajua bila sisi hawapati kitu
 
Back
Top Bottom