Tusifunge mjadala, Mshahara wa Mbunge kwa mwezi ni 12,892,000

Hawalipi kodi hata senti moja eti wao ni waheshimiwa!!!
 
Wanazidi jeuri na viburi.
 

Sasa izidishe hii 12,892,000 x400 ili tujue kila mwez tunatumia kias gan kuwalipa wapendwa wabunge wetu ambao nusu ya bunge n vit maalumu
 
Waanze kulipa kodi sasa
 
Huu ni wizi mchana kweupe,

Unapokeaje mshahara mkubwa namna hii unaotokana na majasho ya watu maskini ,

Ipo haja ya kureview salary ya Hawa watu.

Kwakweli Rais angalia hili.
 
Huu ni wizi mchana kweupe,

Unapokeaje mshahara mkubwa namna hii unaotokana na majasho ya watu maskini ,

Ipo haja ya kureview salary ya Hawa watu.

Kwakweli Rais angalia hili.
Wewe si hutaki KATIBA MPYA? Bila hiyo Rais hawezi kufanya chochote kwa hiari yake tu, anatakiwa KULAZIMISHWA na takwa la kisheria (KATIBA MPYA).
 
Uzuri wetu waatanzani tutapiga kelele hivi hivi mitandaoni halafu imeisha hiyo, kesho watajiongezea tena na maisha yataendelea.
 
In reality they don't have anything to do, why do they even bother going to Bunge? They have never questioned anything put to them. Bunge liliwekwa Dodoma karibu na Milembe Hospital. Wabunge wote akili ya kuku.
 
[emoji3479]WACHA WALIPWE TENA WANGEONGEZEWA IGIKE 20,000,000/=
TUKIWAAMBIA TUPATE KATIBA MPYA TUNABAMBIKIZIWA KESI ZA UGAIDI[emoji3479]
 
Aisee wakati Mimi nakimbizana na laki 8 na mavikao kibao na usumbufu wa kutumwatumwa kila muda na wakuu wa idara

Bora kujiajiri aiseee haya majamaa halafu kila miaka 5 yanalipwa million zaidi ya 200

Na mikopo wakati wa kuingia bungeni kila miaka 5.
Ubunge ni zaidi ya mgodi
 
Waongeze nafasi za Ubunge ili idadi ya wafaidika iongezeke.

Kila Mtaa kuwe na Mbunge.
 
kuendelea kusoma huu uzi ni kujitafutia kupanda pressure na sukari bure na bado corona babe ananisubilia,shubaamit
 
Hivi hakuna namna ya kulipigia kelele hili jambo? Mbona wenzetu wanaishi maisha ya ANASA sana kuliko uhalisia? Halafu bado wanasema eti hiyo pesa haitoshi??? Tunakusanya mikodi kibao halafu watumiaji wa hizo pesa hawafiki hata 2000, shida sana hi
 
Hivi hakuna namna ya kulipigia kelele hili jambo? Mbona wenzetu wanaishi maisha ya ANASA sana kuliko uhalisia? Halafu bado wanasema eti hiyo pesa haitoshi??? Tunakusanya mikodi kibao halafu watumiaji wa hizo pesa hawafiki hata 2000, shida sana hi
Mimi huwa nikifikiria haya huwa natamani nipate njia ya kukwepa kulipa kodi sema tu mifumo inabana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…