Tusifunge mjadala, Mshahara wa Mbunge kwa mwezi ni 12,892,000

Aisee wakati Mimi nakimbizana na laki 8 na mavikao kibao na usumbufu wa kutumwatumwa kila muda na wakuu wa idara

Bora kujiajiri aiseee haya majamaa halafu kila miaka 5 yanalipwa million zaidi ya 200

Na mikopo wakati wa kuingia bungeni kila miaka 5.
Heheheh kujiajiri sio kazi rahisi unaweza ukatamani bora ungeendelea kutumwa tu
 
Sawa mi kama mjasiliali sioni kama ni helanyingi ni kuwa vile tuna uchumi mbovu.

Lakini kama bunge limeshindwa kuisimamia serekali kuingua u humu misses Mishahara yao ipungue tu

Tutumie economic growth index ku rationalize Mishahara. Uchumi ukipanda automatically Mishahara ya watumishi na wabunge inaongezeka, uchumi ukishuka hivyo hivyo,

Kuwe na flactuation of salaried as per economic growth index

Hata kwa Raisi na cabinet Ili watu wauguze vichwa kupandisha uchumi
Tuache mazoea tuwe creative

Huenda tukitumia mfumo huu miaka 5 tutakuwa sawa na china
 
Wewe ni kenge kabisa! Unakubaliana na hao majinga?
 
Yn kwamba mbunge ataamua kwenda jimboni kwake au la.! Yn kwamba kwa wakati huo anakuwa anaishi wapi mpaka kwenda jimboni kwake iwe ni option.?
Inamaana kumbe kuwa mbunge wa mahali flani sio lazima uwe ni mkazi wa kudumu wa jimbo husika.?
 
Mm naona mshahara mdogo sana .Nachopinga ni utendaji wao siridhiki nao hii inaanzia kusema kigezo kusoma na kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…