M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,512 Reaction score 6,882 Mar 21, 2021 #21 Sasa nani kakwambia hicho cheo cha ubaba wa taifa kiko kwenye vpl(vodacom premier league)
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Mar 21, 2021 Thread starter #22 Marwa_J_Merengo said: Sasa nani kakwambia hicho cheo cha ubaba wa taifa kiko kwenye vpl(vodacom premier league) Click to expand... Hivi katika Lugha ya Kiswahili tuna neno ' Kiko ' kama hili uliloliandika hapa au tuna neno sahihi la ' Kipo ' Wewe Mpuuzi? Kiswahili chenyewe tu kinakushinda utaweza Kushindana na Ubongo wangu uliobarikiwa hasa na Mwenyezi Mungu?
Marwa_J_Merengo said: Sasa nani kakwambia hicho cheo cha ubaba wa taifa kiko kwenye vpl(vodacom premier league) Click to expand... Hivi katika Lugha ya Kiswahili tuna neno ' Kiko ' kama hili uliloliandika hapa au tuna neno sahihi la ' Kipo ' Wewe Mpuuzi? Kiswahili chenyewe tu kinakushinda utaweza Kushindana na Ubongo wangu uliobarikiwa hasa na Mwenyezi Mungu?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Mar 21, 2021 #23 Tunapokuwa na Mababa wengi wa Taifa tunakuwa wanaharamu wa Taifa