Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Sasa nani kakwambia hicho cheo cha ubaba wa taifa kiko kwenye vpl(vodacom premier league)
 
Hivi katika Lugha ya Kiswahili tuna neno ' Kiko ' kama hili uliloliandika hapa au tuna neno sahihi la ' Kipo ' Wewe Mpuuzi? Kiswahili chenyewe tu kinakushinda utaweza Kushindana na Ubongo wangu uliobarikiwa hasa na Mwenyezi Mungu?
 
Back
Top Bottom