Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
Utopolo mtupuBora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!
Kwa akili za namna hii tutaendelea kulaumu viongozi kila sikuNafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP Mazembe,Mamelod Sundown na nyingine chache zilizowahi kubeba vikombe vya Afrika. Huu ujinga ndiyo unafanya timu kubweteka kisa imeingia makundi halafu inaenda kupigwa inarudi bila kombe na kubaki wasindikizaji tu! Bora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!
Hawa wala mihogo wana roho ngumu sanaUsikaze kichwa, kimataifa simba inamafanikio kuliko yanga.
Mafanikio yana levels nyingi, ukiingia group stage umefanikiwa ukifika robo umefanikiwa, ubingwa ni level ya juu kabisa ya mafanikio.
Wewe kinachokusumbua ni mwikombelenyuma ni unyafuzi kwenye ubongo~mafanikio ni pamoja na kufika hatua ya juu kwenye mashindano maana bingwa huwa ni mmoja,sasa UTO HAINA UWEZO WA KUFIKA hatua yoyote unategemea useme nini wewe timu mkosi?Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP Mazembe,Mamelod Sundown na nyingine chache zilizowahi kubeba vikombe vya Afrika. Huu ujinga ndiyo unafanya timu kubweteka kisa imeingia makundi halafu inaenda kupigwa inarudi bila kombe na kubaki wasindikizaji tu! Bora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!
Mwagito acha wivu.Haukusaidii zaidi ya kukutengenezea ndita kwenye paji la uso.Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP Mazembe,Mamelod Sundown na nyingine chache zilizowahi kubeba vikombe vya Afrika. Huu ujinga ndiyo unafanya timu kubweteka kisa imeingia makundi halafu inaenda kupigwa inarudi bila kombe na kubaki wasindikizaji tu! Bora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!
Sikutegemea andiko la namna hii nilikute humu jf kwenye great thinkers, kule facebook au Instagram ni kawaida ila huku mh,hivi hujiulizi kwanini caf wanatoa zaidi ya bil 1 kwa kufika makundi ?unasema sio mafanikio!bila kufika hatua hizo ungekusanya point za kupeleka timu 4?,kwa hiyo nyinyi uto mtajikuta tu mmechukua kombe bila kupita makundi wala robo fainali si ndio?bora anaebeza angekuwa kashafikia hizo hatua,lakini mmejawa na wivu tu.Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP Mazembe,Mamelod Sundown na nyingine chache zilizowahi kubeba vikombe vya Afrika. Huu ujinga ndiyo unafanya timu kubweteka kisa imeingia makundi halafu inaenda kupigwa inarudi bila kombe na kubaki wasindikizaji tu! Bora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!