Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

Kwanza kabla hatujaendelea hebu tupe maana ya mafanikio (success) iwe kwa kiingereza au kiswahili ili twende sawa maana inaonekana ulikimbia somo la civics wewe na hujui maana halisi ya neno mafanikio.
 
Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP Mazembe,Mamelod Sundown na nyingine chache zilizowahi kubeba vikombe vya Afrika. Huu ujinga ndiyo unafanya timu kubweteka kisa imeingia makundi halafu inaenda kupigwa inarudi bila kombe na kubaki wasindikizaji tu! Bora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!
Mkuu hebu punguza japo kwa asilimia 1 ujinga wako.

Kwani huo ubingwa wa ngao, Azam, Ligi ni wa kimataifa? Je, Simba katwaa mara ngapi huo ubingwa? Kwa hiyo kukosa msimu uliopita tu kapoteza mafanikio yote ya miaka 4 aliyopata.

Ujinga wako mwingine ni kudhani kushindwa kuvuka hatua ya awali na kufika robo au nusu fainali kote ni kukosa mafanikio bila kufahamu bingwa huwa ni mmoja.

Hebu ondoa ujinga kudhani aliyefika robo fainali na alietimuliwa hatua za awali wote wapo sawa kimafaniko. Kwanza mwenzio wa robo fainali kapata mafanikio ya uzoefu, pesa na ubora ktk viwango vya wachezaji
 
Kwanza kabla hatujaendelea hebu tupe maana ya mafanikio (success) iwe kwa kiingereza au kiswahili ili twende sawa maana inaonekana ulikimbia somo la civics wewe na hujui maana halisi ya neno mafanikio.
Hawa wajinga ndio wanatujazia watoto wa mitaani kwani mafanikio kwao ni kumwaga manii ukeni na kupotea hawajui kwamba kulea watoto ndio uwajabikaji wenye kuleta mafanikio yenye tija ndani yake
 
Ndani ya Tanzania, Simba na Yanga ni giants, ila kwa nje ya Tz yanga maarufu Congo DRC tu labda.
Hawa watabaki kugombea mihogo na nguruwe tu.

Haiwezekani hawa Nguruwe wala mihogo wakawa maarufu DRC, timu yenye wachezaji zaidi ya watano toka DRC (Kisinda, Bangala, Djuma, Mayele, Moloko) haina mchezaji hata mmoja timu ya Taifa wakati wenzao wana mmoja na yupo timu ya Taifa. Hapo ndio utagundua ubora uko wapi
 
Mnatafuta chaka la kujifichia sasa mnalalamika nini kushindwa kufuzu..wewe umeshindwa mwenzako kaweza ndio mafanikio hayo..ligi mnachukua kwa kuhonga waamuzi na wachezaii..ukishinda ligi unapata kiasi gani na ukifudhu makundi na hafi robo fainali unapata sh ngapi...kule kutamu mchezaji unauza mabilion ya pesa..wewe umesajili wachezaji kwa peaa ndefu gharama za kuendesha timu n8 ndeefu... kishahara mirefu unahonga marefa pesa ndefu mwisho wa msimu unapiga hesabu mnahasara...jtabaki humo humo kwa kuhonga
 
Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa!
1667655679143.png
 
Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP Mazembe,Mamelod Sundown na nyingine chache zilizowahi kubeba vikombe vya Afrika. Huu ujinga ndiyo unafanya timu kubweteka kisa imeingia makundi halafu inaenda kupigwa inarudi bila kombe na kubaki wasindikizaji tu! Bora hata Yanga msimu uliopita ilibeba ngao ya hisani, kombe la ligi kuu na kombe la shirikisho la Azam kuliko Simba haina kombe lolote!
Sawa mama mdogo mla MIHOGO
 
Kwa hiyo Tanzania ikifuzu world cup haitaonekana imefanikiwa mpaka ichukue kombe? Hakika utopolo ni utopolo.
 
Back
Top Bottom