Tusilazimishe matokeo, mpira ni mchezo wa wazi

Tusilazimishe matokeo, mpira ni mchezo wa wazi

Joined
Aug 19, 2020
Posts
66
Reaction score
55
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde.

Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe ili akifungwa afungwe kutokana na ubovu waje na sio sababu za waamuzi, poleni Aigle Noir Fc.
 
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kunakitu kinatafutwa.
Kwasababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata firimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde.
Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe ili akifungwa afungwe kutokana na ubovu waje na sio sababu za waamuzi.....poleni Aigle Noir Fc.
mlivyowafunga vital o mlikuwa hambebwi sio

poleni simba
 
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kunakitu kinatafutwa.
Kwasababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata firimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde.
Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe ili akifungwa afungwe kutokana na ubovu waje na sio sababu za waamuzi.....poleni Aigle Noir Fc.
Kachezeshe wewe
 
Simba mshaanza kutetema,Bado tunashusha kitu kesho🤣🤣🤣🤣
 
IMG-20200830-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom