The Night Walker19
Member
- Aug 19, 2020
- 66
- 55
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde.
Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe ili akifungwa afungwe kutokana na ubovu waje na sio sababu za waamuzi, poleni Aigle Noir Fc.
Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe ili akifungwa afungwe kutokana na ubovu waje na sio sababu za waamuzi, poleni Aigle Noir Fc.