Tusilazimishe matokeo, mpira ni mchezo wa wazi

Joined
Aug 19, 2020
Posts
66
Reaction score
55
Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde.

Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe ili akifungwa afungwe kutokana na ubovu waje na sio sababu za waamuzi, poleni Aigle Noir Fc.
 
mlivyowafunga vital o mlikuwa hambebwi sio

poleni simba
 
Kachezeshe wewe
 
Simba mshaanza kutetema,Bado tunashusha kitu kesho🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…