Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na Waziri wake akawa ana interject kumsaidia Rais wake, tena kwa heshima, akisema "On behalf of my President, let me answer this...." na alifanya hivyo mara kadhaa.
Matokeo yake, Wazungu waliokuwepo wakasikika wakisema, 'Huyu mtu anaistahili kuwa Rais wa nchi yao'. Pamoja na kwamba waziri huyo aliokoa jahazi, Mhe Rais mwenyewe lilimuudhi sana hilo na akalichukulia kama amedhalilishwa ingawa ukweli ni kwamba hata lugha ya wazungu ilikuwa inampa shida.
Waliporudi kwao, donge la hasira la Mhe lilipelekea kutoelewana na ukawa mwisho wa Waziri yule. Hilo litokana na udhaifu, na wivu wa kiongozi mkuu. Lakini inaonekana WaTz wengi - na wanaJF tukiwemo tuna liegemeza hili la mabadiliko na hali inayofanana na hii. Hilo si sahihi na binafsi sidhani Mhe Rais kama amekwenda chini kiasi hicho, ati kisa umaarufu.
Tunaruhusiwa kuspeculate, maana ndio hulka ya binadamu, lakini tuone yatakatoendelea maana ukweli utadhihirika tu. Patience!