Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

Nakumbuka kulikuwa na mkutano mkubwa sana wa kimataifa hapa Dar es salaam enzi za Mh Kikwete.
Kuna maswali yalikuwa yanamshinda kujibu Mh Kikwete na mama Tibaijuka alimjibia Mh Rais na wala Kikwete hakujisikia vibaya. Ukiwa boss huwezi jibu kila kitu hasa kama ni maswali ambayo hayajaandaliwa kabla hivyo wasaidizi wako ni wajibu wao wakusaidie kama timu moja.
 
Naam!
 
Back
Top Bottom