Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

Ouko na Moi.
Hapana, haipo hivyo. lakini inamfanano.

Huyu wa kwetu (Rais), amajitambulisha kwamba madaraka yake yameguswa, kwa hiyo kaona akumbushie hao walio chini yake wasizoee kuwa na tabia hiyo.

Naona katoa mfano wengine waone na wasihoji madaraka yake tena.
 
Duh!

Wewe ulikuwa unamchimba mkuu wako, na alishajuwa wazi kwamba tatizo linaanzia kwako, kwa hiyo akakupa kamba ujimalize mwenyewe.
 
Tatizo la Ouko alikua kiherehere sana na kumsababishia mzee aaibike huko uzunguni, ha ha ha halafu mzee alikua katili, ila kuna waziri wake alikua anaitwa Biwot ndiye alikua mwenye shughuli yote ya kuua.
Nasikia biwot alichimba bwawa kubwa akajenga nyumba katikati yake kujilinda na maadui zake
 
Robert ouko vs moi
Mama alishindwa kuonana na Biden
Alafu waziri anakutana naye kama kirahisi tena kwa kualiwa kwaheshima

Mama alienda Us anapokelewa na mangekimambi
 
Kaka, Scotland Yard Investigators toka Uingereza walilietwa kupeleleza kifo cha Ouko. Ilikuwa ni hot news sio kawaida.
 
Usimzidi kete za umaarufu bosi wako.
Ila kuna kitu sielewi hapa.
Ndio twasema speculation ni sahihi tu mpaka tuupate usahihi wa mambo. Hoja ni je Bosi Namba Wani anaweza shuka hadi level ya kuhisi amedhulumiwa umaarufu?
 
Pole sana.
Lakini ubinafsi wetu sisi binadamu ndio maana hatuendelei moja kwa moja kwa sababu hatutaki kukubali kuna watu wana mawazo mazuri kuliko mimi hata kama ni mdogo kiasi gani kwa cheo au kielimu.

Ni moja wapo wa umaskini wa fikra.
 
Kwa hiyo kwenye issue ya Ouko angenyamaza ili wote waonekani ni watupu kichwani?
Never outshine the master-Law # 1 (The 48 laws of power).

Always say less than necessary (Law # 4)

Remember:Always boss is right...if he wasn't right you wouldn't get a job (master & servant protocols)
 
Ndio twasema speculation ni sahihi tu mpaka tuupate usahihi wa mambo. Hoja ni je Bosi Namba Wani anaweza shuka hadi level ya kuhisi amedhulumiwa umaarufu?
Mbona kasema mwenyewe, au ulitaka atafune kila kitu halafu akumezeshe ndipo uelewe maana yake!
 
Kama ni kweli, sidhani kama ni busara kuongelea mambo mbele ya boss wako wakati hujaulizwa wewe, huko ni kumdhalilisha, hicho ni kimbelembele. Binafsi niliwahi kufanya kazi shule moja ya serikali kwa kujitolea, wakati nimefika tikiwa parade H/M alianza kulonga kimombo ambacho kilijaa makosa mengi na ya wazi, chenye kuchekesha, nilibana kicheko changu lakini kadri muda ulivyoenda nilishindwa kujizuia. Basi Mwl mmoja alisema " ucheke akufukuze kazi". Ko mkubwa wako anapoboronga lazima ujitenge na madhaifu yake vinginevyo wakiweka mashakani kibarua chako.
 
Maadam aliyemteua na kumtumbua hajatwambia sababu, wacha tuendelee kuspeculate.
 
Never outshine the master-Law # 1 (The 48 laws of power).

Always say less than necessary (Law # 4)

Remember:Always boss is right...if he wasn't right you wouldn't get a job (master & servant protocols)
This is just stupidity of highest order.
Huu ni mkakati wa kutengeneza mafala duniani...
 
Tatizo la Ouko alikua kiherehere sana na kumsababishia mzee aaibike huko uzunguni, ha ha ha halafu mzee alikua katili, ila kuna waziri wake alikua anaitwa Biwot ndiye alikua mwenye shughuli yote ya kuua.
yeyw Biwot kwa sasa yupo wp au tayar nae anapambana na hali yake huko mawinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…