Matrako ya mbusiNaona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi
Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao
Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo
Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Mpe za uso huyo utoPunguza upumbavu wewe. Yanga alicheza shirikisho akiwa "looser" toka Klabu Bingwa. Baada ya kutimuliwa kule Klabu Bingwa ndio akaangukia huko Shirikisho.. Kwa hiyo yeye akiwa Bingwa wa nchi alienda kuonea vibonde, kule kwa wakubwa wenzake alishindwa .
mwiko ukiwa nyuma tabu kama hizi utaziona tuSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
Jinga hili toto,Simba ikishinda hiki linatafuta kichaka cha kujificha,ngara23 unaitwa huku Mkuu🤣🤣🤣😀😀😀😝 nilecheka sanaaa Aiseee
Umejitia Dole alafu unanusa?😁😁😁😁😁😁😁Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
mwiko ukiwa nyuma tabu kama hizi utaziona
Sisi ndiyo Simba SC AKA;mwiko ukiwa nyuma tabu kama hizi utaziona tu
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Umejitia Dole alafu unanusa?😁😁😁😁😁😁😁
hatuosi vichaka...maolo wakae waijua hili kombe vilaza lukukiNaona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi
Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao
Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo
Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Umejitia Dole alafu unanusa?😁😁😁😁😁😁😁
"ZILIKUWEMO NCHI AMBAYO NI MABINGWA WA MATAIFA YAO" hapo ndio umeandika nini?Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
Brilliant piece of nonsense, garbage in, garbage out.Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi
Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao
Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo
Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Wewe ndio unapaswa kutulia, una hangaika mnoTulia