Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
Yaan mie hapa full burudaniiii, 😂😂😂😂
 
Umesema na bado hujasema ila utasema tu. Haya maumivu yatakutesa sana UTOPWINYO waheeedi
Kauli za kikike kike hizi tena hasa hasa kwa wavaa vijora, wacheza taarabu na singeli.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mw
Yaan mie hapa full burudaniiii, 😂😂😂😂
Fainali za 1993 kubadilishwa jina 2004 na kudai Makolokolo walifika fainali za CAFCCL ni sahihi ila Makolokolo kucheza CAFCCL akiwa na timu zilizoshika nafasi za 4 kwa misimamo ya ligi kuu mbali mbali Afrika si sahihi, aliyewaita Mbumbumbu hakukosea kabisa 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mw

Fainali za 1993 kubadilishwa jina 2004 na kudai Makolokolo walifika fainali za CAFCCL ni sahihi ila Makolokolo kucheza CAFCCL akiwa na timu zilizoshika nafasi za 4 kwa misimamo ya ligi kuu mbali mbali Afrika si sahihi, aliyewaita Mbumbumbu hakukosea kabisa 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yaan hapa mie full rahaa, 😂😂😂😂
 
Sisi Yanga tuwapongeze tu watani na tuone kama Challenge, hii ndio maana ya utani wa Jadi,sasa tujitahidi mashindano yakimataifa yanayokuja kuweka rekodi mpya ambayo watani Simba watatamani nawao wafikie
 
Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga

Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k

CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi

Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao

Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo

Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Kwenye mpira hakuna ubingwa wa medali kwasababu siyo Olympic. Man united imechukua medali mara ngapi?
Timu za ovyo na changa duniani hujivunia ushindi wa medali kama ubingwa kwao
Ukitaka kujua kuwa ni ujinga, unaweza kuzungumza kwenye vyombo vya habari vikubwa duniani kama BBC, CCN n.k kueleza mafanikio ya Yanga ni kuchukua medali za shirikisho?
 
Mbona makando kando yamekuwa mengi baada ya kichaka kufyekwa!!😀
 
Kwenye mpira hakuna ubingwa wa medali kwasababu siyo Olympic. Man united imechukua medali mara ngapi?
Timu za ovyo na changa duniani hujivunia ushindi wa medali kama ubingwa kwao
Ukitaka kujua kuwa ni ujinga, unaweza kuzungumza kwenye vyombo vya habari vikubwa duniani kama BBC, CCN n.k kueleza mafanikio ya Yanga ni kuchukua medali za shirikisho?
Kichaka kimefyekwa
 
Kauli za kikike kike hizi tena hasa hasa kwa wavaa vijora, wacheza taarabu na singeli.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kwani kuwa kike ni dhambi? Wewe uwanaume wako uko wapi? Utakuta wewe ndiye mmoja wa wanenguaji wa singeli
 
Yaan hapa mie full rahaa, 😂😂😂😂
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. We kundu wa Msimbazi.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. We kundu wa Msimbazi. View attachment 3318546
Full rahaaa, 😂😂😂😂
 
Full rahaaa, 😂😂😂😂
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi.
JamiiForums-312072181.jpeg
 
MASIKINI NGARA ANAJUAIBISHA JAPO YE HAJUAGI KAMA ANAJIAIBISHAGA.
 
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi.View attachment 3318552
Full kujibwendaaaa, 😂😂😂😂
 
Offside yenyewe ya mchongo StellenBosch vs Makolokolo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside 🤣

Makolokolo bila bahasha ni mwepesi kama kumsukuma Chapombe 😅
Ukasomee urefa sasa maana television zimekuivisha mafunzoni utamsukuma mlevi tu.
 
Katika watu waliopagawa na kudevwela ni huyu Ngara mtoni...
Marumo ilishuka daraja braza...
Bwahahhaha katk mwakaa mliopata bahati ya vibonde ni mwaka ule mlivaa shanga
 
Back
Top Bottom