Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Simba
Nguvu Moja

Mtatafuta Utetezi Mpaka
kichaka Kimefyekwa
 
Matrako ya mbusi
 
Mpe za uso huyo uto
 
mwiko ukiwa nyuma tabu kama hizi utaziona tu
 
Umejitia Dole alafu unanusa?😁😁😁😁😁😁😁
 
mwiko ukiwa nyuma tabu kama hizi utaziona

mwiko ukiwa nyuma tabu kama hizi utaziona tu
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
 
Umejitia Dole alafu unanusa?😁😁😁😁😁😁😁
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
 
hatuosi vichaka...maolo wakae waijua hili kombe vilaza lukuki
 
Umejitia Dole alafu unanusa?😁😁😁😁😁😁😁
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
 
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
"ZILIKUWEMO NCHI AMBAYO NI MABINGWA WA MATAIFA YAO" hapo ndio umeandika nini?
 
Brilliant piece of nonsense, garbage in, garbage out.
 
Ila twende mbele turudi Nyuma..Au basi twende tu mbele..Sio leo tokea zamani🎵🎵🎵
 
Unatia huruma masikini daahh
Pole sana kaka!!!umevurugwa mwenyewe kama umelishwa usembe etii
 
Nikisoma maandishi yako yana maumivu makubwa mnoo katikati ya moyo wako,yote hayo ni kujifariji tu,masikini sidhani kama utakula leo au kulala
Simba ndo ameingia fainali atacheza na berkane 17th of May 2025 first leg and second leg 25th of may 2025 taifa
Pole bro mpira una matokeo ya kikatili sana
Nakuonea huruma mnoo..
Yaani una chuki kama mchawi vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…