Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Yanga ashafanya haya Toka 2021
5imba ndo mnacheza final leo
 
Si ujinyonge tu maana imekuuma sana SSC kutinga fainali
 
Yaan mnavopovukwa hivi, mie ndo nahisi burudaani hatariii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo hata uchaguzi vimebaki vyama dhaifu pekee
 
Leo utalala uko hoi, poleeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hoi ya nini
Me Niko hapa kuwapopoa namalizia kunywa safaril lager
Naenda Kulala usingizi mzuri mno
 
Tesekaa taratibu bwashee, Poleeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipo hapa na watani zangu mbumbumbu tunafurahi
Time imetembea Wacha nikatumikie ndoa sasa
 
Nipo hapa na watani zangu mbumbumbu tunafurahi
Time imetembea Wacha nikatumikie ndoa sasa
Nguvu hata za kusimamisha urungu unazo sasa? Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nguvu hata za kusimamisha urungu unazo sasa? Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kiukweli Leo Sina
Mamsapu nitampa mapumziko labda Kesho
 
Yaan mnavopovukwa hivi, mie ndo nahisi burudaani hatariii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
 
Huko kwa wakubwa ana rekodi gani?Hamzidi chochote Simba hata huko kwa wakubwa.Timu inapata ukubwa kwa kuhonga wachezaji na waamuzi kisha inaenda kuishia makundi,halafu mshamba mmoja anakuja kujisifu kushiriki!
 
Umesema na bado hujasema ila utasema tu. Haya maumivu yatakutesa sana UTOPWINYO waheeedi
 
umekunywa mbege ya wap mtoa post? mtu mzima maneno yanatakiw yatoke kichwan kuja mdomon sio mdomon pekeake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…