Yaan mie hapa full burudaniiii, ππππSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
Kauli za kikike kike hizi tena hasa hasa kwa wavaa vijora, wacheza taarabu na singeli.Umesema na bado hujasema ila utasema tu. Haya maumivu yatakutesa sana UTOPWINYO waheeedi
Fainali za 1993 kubadilishwa jina 2004 na kudai Makolokolo walifika fainali za CAFCCL ni sahihi ila Makolokolo kucheza CAFCCL akiwa na timu zilizoshika nafasi za 4 kwa misimamo ya ligi kuu mbali mbali Afrika si sahihi, aliyewaita Mbumbumbu hakukosea kabisa πYaan mie hapa full burudaniiii, ππππ
Yaan hapa mie full rahaa, ππππMw
Fainali za 1993 kubadilishwa jina 2004 na kudai Makolokolo walifika fainali za CAFCCL ni sahihi ila Makolokolo kucheza CAFCCL akiwa na timu zilizoshika nafasi za 4 kwa misimamo ya ligi kuu mbali mbali Afrika si sahihi, aliyewaita Mbumbumbu hakukosea kabisa π
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kwenye mpira hakuna ubingwa wa medali kwasababu siyo Olympic. Man united imechukua medali mara ngapi?Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi
Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao
Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo
Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Mbona makando kando yamekuwa mengi baada ya kichaka kufyekwa!!πNaona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi
Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao
Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo
Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Kichaka kimefyekwaKwenye mpira hakuna ubingwa wa medali kwasababu siyo Olympic. Man united imechukua medali mara ngapi?
Timu za ovyo na changa duniani hujivunia ushindi wa medali kama ubingwa kwao
Ukitaka kujua kuwa ni ujinga, unaweza kuzungumza kwenye vyombo vya habari vikubwa duniani kama BBC, CCN n.k kueleza mafanikio ya Yanga ni kuchukua medali za shirikisho?
Kwani kuwa kike ni dhambi? Wewe uwanaume wako uko wapi? Utakuta wewe ndiye mmoja wa wanenguaji wa singeliKauli za kikike kike hizi tena hasa hasa kwa wavaa vijora, wacheza taarabu na singeli.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Yaan hapa mie full rahaa, ππππ
Full rahaaa, ππππSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. We kundu wa Msimbazi. View attachment 3318546
Uwanaume βKwani kuwa kike ni dhambi? Wewe uwanaume wako uko wapi? Utakuta wewe ndiye mmoja wa wanenguaji wa singeli
1. Makolokolo SC.Full rahaaa, ππππ
Full kujibwendaaaa, ππππ1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi.View attachment 3318552
Ukasomee urefa sasa maana television zimekuivisha mafunzoni utamsukuma mlevi tu.Offside yenyewe ya mchongo StellenBosch vs Makolokolo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside π€£
Makolokolo bila bahasha ni mwepesi kama kumsukuma Chapombe π
Bahasha SC imethibitisha ndiyo mpango mzima la sivyo...πUkasomee urefa sasa maana television zimekuivisha mafunzoni utamsukuma mlevi tu.
Full kudevelekaaaaa, πππππKujifariji si dhambi π€£
View attachment 3318574