Uchaguzi 2020 Tusimjibu Shekhe Ponda mitandaoni, tujiandae kupiga kura

Joined
Sep 8, 2020
Posts
67
Reaction score
133
1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28.

2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA kumjibu ni kukubali kuhama, achaneni nae tujiandae kupiga KURA kupinga ushoga Oktoba 28.

3. Shekhe Ponda anataka kuturudisha katika mijadala ya kihalifu iliyoko mahakamani, kufanya hivyo ni kumsaidia kufikisha ujumbe wake, achaneni nae tutachelewa kuwaelewesha watu wetu juu ya namna bora ya kupiga KURA Oktoba 28.

4. Shekhe Ponda hana cha kuifanya CCM, sio wa leo alijaribu mwaka 2013 tukamshinda, akarudi 2015 tukamshinda na Lowassa amerudi tena 2020 na Tundu Lissu tutamshinda. Tuachane naye tujiandae kupiga KURA za kimbunga Oktoba 28.

5. Shekhe Ponda na Tundu Lissu wote hawapendi Muungano, msihangaike nao Amani na Umoja wa Taifa hili uko mikononi mwetu tujiandae kupiga KURA kwa wingi kuimarisha Muungano wetu. Tuachane nae, tusimjibu kwa maneno tujiandae kupiga KURA Oktoba 28.

6. Shekhe Ponda ameletwa kwa malengo mahsusi mwishoni kuharibu utulivu wa waislamu, tuedelee kumheshimu lkn tumpuuze kwa ajili ya nchi yetu. Msimjibu tujiandae kupiga KURA Oktoba 28, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kujibu maoni ya mtu.

7. Shekhe Ponda anatafuta nafasi ya kulipa kisasi, tusimsaidie kukamilisha mradi wake huo. Kuendelea kijibizana nae ni kumsaidia kulipa kisasi dhidi ya Serikali. Acheni kuvutana nae, KURA ni mhimu kuliko kisasi cha mtu.

8. Shekhe Ponda ni Askofu Mwamakula ni Wanachama wa CHADEMA, waacheni waombe KURA zao hatuwezi kujibu kila mtu, agenda ya CCM iwe kupiga KURA ifikapo Oktoba 28.

9. Shekhe Ponda hastahili kujibiwa mitandaoni isipokuwa katika sanduku la KURA. Jiandaeni tukapige KURA tumefanya mambo mengi mno mazuri kwa muda mfupi hakuna haja ya kuhangaika na watu wabaya.

10. Shekhe Ponda akiendelea kuwaomba waislamu kumpigia KURA Tundu Lissu, SISI tuwaombe kumpigia KURA JPM Oktoba 28. Ni hivyo tu, kurumbana nae haitatusaidia kitu, tutawagawa Waislamu bila sababu.

11. Wana-CCM, msimjibu Ponda. Tujiandae kwenda kupiga KURA ifikapo Oktoba 28, majibu atayasikia kwenye bomba. CCM ni kubwa sana kuliko Shekhe Ponda.
NAOMBA KURA YAKO KWA CCM.
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
 
Hapa angalao anawasaidia kujitafakari na kujua makosa yenu yako wapi,bado tu hata Hilo mnakataa, Sasa jiandaeni kuupata ugali mnakopeleka mboga.

Katika mazingira haha ilifaa make na mtafakari kwa kina na uwazi na hats ikibidi kukiri mlipo kosea na kuahidi marekebisho,Ila bado mnajidai vichwa ngumu,mtavuna mlichopanda.Dunia ya Leo imekuwa Kijiji.Uhuru,haki na maendeleo ndio Kila kitu.Kumbukeni wakati ukuta.
 
"Tujiandae kupiga kura tarehe 28" katika thread yako ni verse nzuri sana katika hili shairi.

Isitoshe, Ulichokiandika it is absolutely true!
 
Ponda na Lisu wote lao moja.

Mitano tena kwa JPM.
Mtakuja kuupatia ugali mliko kuwa mnabeleka mboga,Bora msome mazingira,Kama mlikuwa mnasema uongo Sasa semeni ukweli itawasaidia,huko tuendako .
 
1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28.

2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA kumjibu ni kukubali kuhama, achaneni nae tujiandae kupiga KURA kupinga ushoga Oktoba 28.

3. Shekhe Ponda anataka kuturudisha katika mijadala ya kihalifu iliyoko mahakamani, kufanya hivyo ni kumsaidia kufikisha ujumbe wake, achaneni nae tutachelewa kuwaelewesha watu wetu juu ya namna bora ya kupiga KURA Oktoba 28.

4. Shekhe Ponda hana cha kuifanya CCM, sio wa leo alijaribu mwaka 2013 tukamshinda, akarudi 2015 tukamshinda na Lowassa amerudi tena 2020 na Tundu Lissu tutamshinda. Tuachane naye tujiandae kupiga KURA za kimbunga Oktoba 28.

5. Shekhe Ponda na Tundu Lissu wote hawapendi Muungano, msihangaike nao Amani na Umoja wa Taifa hili uko mikononi mwetu tujiandae kupiga KURA kwa wingi kuimarisha Muungano wetu. Tuachane nae, tusimjibu kwa maneno tujiandae kupiga KURA Oktoba 28.

6. Shekhe Ponda ameletwa kwa malengo mahsusi mwishoni kuharibu utulivu wa waislamu, tuedelee kumheshimu lkn tumpuuze kwa ajili ya nchi yetu. Msimjibu tujiandae kupiga KURA Oktoba 28, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kujibu maoni ya mtu.

7. Shekhe Ponda anatafuta nafasi ya kulipa kisasi, tusimsaidie kukamilisha mradi wake huo. Kuendelea kijibizana nae ni kumsaidia kulipa kisasi dhidi ya Serikali. Acheni kuvutana nae, KURA ni mhimu kuliko kisasi cha mtu.

8. Shekhe Ponda ni Askofu Mwamakula ni Wanachama wa CHADEMA, waacheni waombe KURA zao hatuwezi kujibu kila mtu, agenda ya CCM iwe kupiga KURA ifikapo Oktoba 28.

9. Shekhe Ponda hastahili kujibiwa mitandaoni isipokuwa katika sanduku la KURA. Jiandaeni tukapige KURA tumefanya mambo mengi mno mazuri kwa muda mfupi hakuna haja ya kuhangaika na watu wabaya.

10. Shekhe Ponda akiendelea kuwaomba waislamu kumpigia KURA Tundu Lissu, SISI tuwaombe kumpigia KURA JPM Oktoba 28. Ni hivyo tu, kurumbana nae haitatusaidia kitu, tutawagawa Waislamu bila sababu.

11. Wana-CCM, msimjibu Ponda. Tujiandae kwenda kupiga KURA ifikapo Oktoba 28, majibu atayasikia kwenye bomba. CCM ni kubwa sana kuliko Shekhe Ponda.
NAOMBA KURA YAKO KWA CCM.
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
Tayari umeshamjibu tena kupitia mtandao. Mbona kina Alhadi Salum wanaposema kina Lissu washindwe na waregee hamkuwaka ?! Kulikoni !!
 
Kama Shekhe Ponda anataka meseji yake wapiga kura waipokee vizuri, angeacha kuwagawa kwa misingi ya dini.

Ni bora aombe kura za WaTZ wote kuliko kuja na kauli kama “ninawaomba Waislamu kufanya so and so..”
 
Back
Top Bottom