Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni hopeless kabisa!1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28.
2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA kumjibu ni kukubali kuhama, achaneni nae tujiandae kupiga KURA kupinga ushoga Oktoba 28.
3. Shekhe Ponda anataka kuturudisha katika mijadala ya kihalifu iliyoko mahakamani, kufanya hivyo ni kumsaidia kufikisha ujumbe wake, achaneni nae tutachelewa kuwaelewesha watu wetu juu ya namna bora ya kupiga KURA Oktoba 28.
4. Shekhe Ponda hana cha kuifanya CCM, sio wa leo alijaribu mwaka 2013 tukamshinda, akarudi 2015 tukamshinda na Lowassa amerudi tena 2020 na Tundu Lissu tutamshinda. Tuachane naye tujiandae kupiga KURA za kimbunga Oktoba 28.
5. Shekhe Ponda na Tundu Lissu wote hawapendi Muungano, msihangaike nao Amani na Umoja wa Taifa hili uko mikononi mwetu tujiandae kupiga KURA kwa wingi kuimarisha Muungano wetu. Tuachane nae, tusimjibu kwa maneno tujiandae kupiga KURA Oktoba 28.
6. Shekhe Ponda ameletwa kwa malengo mahsusi mwishoni kuharibu utulivu wa waislamu, tuedelee kumheshimu lkn tumpuuze kwa ajili ya nchi yetu. Msimjibu tujiandae kupiga KURA Oktoba 28, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kujibu maoni ya mtu.
7. Shekhe Ponda anatafuta nafasi ya kulipa kisasi, tusimsaidie kukamilisha mradi wake huo. Kuendelea kijibizana nae ni kumsaidia kulipa kisasi dhidi ya Serikali. Acheni kuvutana nae, KURA ni mhimu kuliko kisasi cha mtu.
8. Shekhe Ponda ni Askofu Mwamakula ni Wanachama wa CHADEMA, waacheni waombe KURA zao hatuwezi kujibu kila mtu, agenda ya CCM iwe kupiga KURA ifikapo Oktoba 28.
9. Shekhe Ponda hastahili kujibiwa mitandaoni isipokuwa katika sanduku la KURA. Jiandaeni tukapige KURA tumefanya mambo mengi mno mazuri kwa muda mfupi hakuna haja ya kuhangaika na watu wabaya.
10. Shekhe Ponda akiendelea kuwaomba waislamu kumpigia KURA Tundu Lissu, SISI tuwaombe kumpigia KURA JPM Oktoba 28. Ni hivyo tu, kurumbana nae haitatusaidia kitu, tutawagawa Waislamu bila sababu.
11. Wana-CCM, msimjibu Ponda. Tujiandae kwenda kupiga KURA ifikapo Oktoba 28, majibu atayasikia kwenye bomba. CCM ni kubwa sana kuliko Shekhe Ponda.
NAOMBA KURA YAKO KWA CCM.
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
Ponda kakuponda sana kichwa.kila mtu ana kura yake fanya yako acha watu wafanye yao1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28.
2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA kumjibu ni kukubali kuhama, achaneni nae tujiandae kupiga KURA kupinga ushoga Oktoba 28.
3. Shekhe Ponda anataka kuturudisha katika mijadala ya kihalifu iliyoko mahakamani, kufanya hivyo ni kumsaidia kufikisha ujumbe wake, achaneni nae tutachelewa kuwaelewesha watu wetu juu ya namna bora ya kupiga KURA Oktoba 28.
4. Shekhe Ponda hana cha kuifanya CCM, sio wa leo alijaribu mwaka 2013 tukamshinda, akarudi 2015 tukamshinda na Lowassa amerudi tena 2020 na Tundu Lissu tutamshinda. Tuachane naye tujiandae kupiga KURA za kimbunga Oktoba 28.
5. Shekhe Ponda na Tundu Lissu wote hawapendi Muungano, msihangaike nao Amani na Umoja wa Taifa hili uko mikononi mwetu tujiandae kupiga KURA kwa wingi kuimarisha Muungano wetu. Tuachane nae, tusimjibu kwa maneno tujiandae kupiga KURA Oktoba 28.
6. Shekhe Ponda ameletwa kwa malengo mahsusi mwishoni kuharibu utulivu wa waislamu, tuedelee kumheshimu lkn tumpuuze kwa ajili ya nchi yetu. Msimjibu tujiandae kupiga KURA Oktoba 28, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kujibu maoni ya mtu.
7. Shekhe Ponda anatafuta nafasi ya kulipa kisasi, tusimsaidie kukamilisha mradi wake huo. Kuendelea kijibizana nae ni kumsaidia kulipa kisasi dhidi ya Serikali. Acheni kuvutana nae, KURA ni mhimu kuliko kisasi cha mtu.
8. Shekhe Ponda ni Askofu Mwamakula ni Wanachama wa CHADEMA, waacheni waombe KURA zao hatuwezi kujibu kila mtu, agenda ya CCM iwe kupiga KURA ifikapo Oktoba 28.
9. Shekhe Ponda hastahili kujibiwa mitandaoni isipokuwa katika sanduku la KURA. Jiandaeni tukapige KURA tumefanya mambo mengi mno mazuri kwa muda mfupi hakuna haja ya kuhangaika na watu wabaya.
10. Shekhe Ponda akiendelea kuwaomba waislamu kumpigia KURA Tundu Lissu, SISI tuwaombe kumpigia KURA JPM Oktoba 28. Ni hivyo tu, kurumbana nae haitatusaidia kitu, tutawagawa Waislamu bila sababu.
11. Wana-CCM, msimjibu Ponda. Tujiandae kwenda kupiga KURA ifikapo Oktoba 28, majibu atayasikia kwenye bomba. CCM ni kubwa sana kuliko Shekhe Ponda.
NAOMBA KURA YAKO KWA CCM.
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
Ni kweli! Imebanwa matugu mpaka yanauma!Aisee! CCM mmeshikwa pabaya!!
Kwani wewe umeelewaje huu ujumbe?!Hakuna mwanaCCM anaweza fanya huo ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani yule kafiri WA bakwata aloyesimama kumuombea jiwe ulimsikia juzi au unaona ya Ponda tu?1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28.
2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA kumjibu ni kukubali kuhama, achaneni nae tujiandae kupiga KURA kupinga ushoga Oktoba 28.
3. Shekhe Ponda anataka kuturudisha katika mijadala ya kihalifu iliyoko mahakamani, kufanya hivyo ni kumsaidia kufikisha ujumbe wake, achaneni nae tutachelewa kuwaelewesha watu wetu juu ya namna bora ya kupiga KURA Oktoba 28.
4. Shekhe Ponda hana cha kuifanya CCM, sio wa leo alijaribu mwaka 2013 tukamshinda, akarudi 2015 tukamshinda na Lowassa amerudi tena 2020 na Tundu Lissu tutamshinda. Tuachane naye tujiandae kupiga KURA za kimbunga Oktoba 28.
5. Shekhe Ponda na Tundu Lissu wote hawapendi Muungano, msihangaike nao Amani na Umoja wa Taifa hili uko mikononi mwetu tujiandae kupiga KURA kwa wingi kuimarisha Muungano wetu. Tuachane nae, tusimjibu kwa maneno tujiandae kupiga KURA Oktoba 28.
6. Shekhe Ponda ameletwa kwa malengo mahsusi mwishoni kuharibu utulivu wa waislamu, tuedelee kumheshimu lkn tumpuuze kwa ajili ya nchi yetu. Msimjibu tujiandae kupiga KURA Oktoba 28, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kujibu maoni ya mtu.
7. Shekhe Ponda anatafuta nafasi ya kulipa kisasi, tusimsaidie kukamilisha mradi wake huo. Kuendelea kijibizana nae ni kumsaidia kulipa kisasi dhidi ya Serikali. Acheni kuvutana nae, KURA ni mhimu kuliko kisasi cha mtu.
8. Shekhe Ponda ni Askofu Mwamakula ni Wanachama wa CHADEMA, waacheni waombe KURA zao hatuwezi kujibu kila mtu, agenda ya CCM iwe kupiga KURA ifikapo Oktoba 28.
9. Shekhe Ponda hastahili kujibiwa mitandaoni isipokuwa katika sanduku la KURA. Jiandaeni tukapige KURA tumefanya mambo mengi mno mazuri kwa muda mfupi hakuna haja ya kuhangaika na watu wabaya.
10. Shekhe Ponda akiendelea kuwaomba waislamu kumpigia KURA Tundu Lissu, SISI tuwaombe kumpigia KURA JPM Oktoba 28. Ni hivyo tu, kurumbana nae haitatusaidia kitu, tutawagawa Waislamu bila sababu.
11. Wana-CCM, msimjibu Ponda. Tujiandae kwenda kupiga KURA ifikapo Oktoba 28, majibu atayasikia kwenye bomba. CCM ni kubwa sana kuliko Shekhe Ponda.
NAOMBA KURA YAKO KWA CCM.
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
Hayo mambo ya Zanzibar sio baraKwani wewe umeelewaje huu ujumbe?!View attachment 1604273
Allahu akbarTakbiir.
Nakazia hapo PUMBAV KABISA.Aliposimama bwana alasad juz na kuiombea kura Ccm juzi alikuwa mzalendo. Leo kaja ponds mnawewesekaaa. Pumbav
Nakazia hapo.Pumbaf ww