Uchaguzi 2020 Tusimjibu Shekhe Ponda mitandaoni, tujiandae kupiga kura

Uchaguzi 2020 Tusimjibu Shekhe Ponda mitandaoni, tujiandae kupiga kura

Kama Shekhe Ponda anataka meseji yake wapiga kura waipokee vizuri, angeacha kuwagawa kwa misingi ya dini.

Ni bora aombe kura za WaTZ wote kuliko kuja na kauli kama “ninawaomba Waislamu kufanya so and so..”
Ponda kamaliza upande wake, upande wa pili nao wanayonafasi pia ya kuutangazia umma wanayemtaka,

Viva lisu
 
Kuna hii pia. Watanzania tuna kumbu kumbu.. [emoji849][emoji849]
tapatalk_1602740473234.jpeg
 
Tundu Lissu tarehe 19/10 yupo hai wajinga wamejipanga kuleta vurugu huyu DC Ole gani sijui anaitwa dawa yake inachemka!nimedokezwa kuna mpango sabili umepangwa!
 
Back
Top Bottom