Uchaguzi 2020 Tusimjibu Shekhe Ponda mitandaoni, tujiandae kupiga kura

Samahani wewe ni Alhad Mussa?
 
..wa kumjibu Shekhe Ponda ni Mufti wa Bakwata.

..kama Mufti yuko kimya mpaka muda huu, maana yake anamuunga mkono Tundu Lissu.
Huyu mleta post ni shehe mkuu wa daa
 
Mtaimba nyimbo zote mpaka ule wa Halleluyah muende vizuri na noten msiukosee tu
 
..tarehe 28 Oct kampigie kura TUNDU LISSU.

..mgombea anayesimamia HAKI, na anayesema UKWELI.
Ukimaliza kupiga kura nakusubilia geto nije nikupe kitu kubwa kama tango sawa eeehh.....maana nitakuwa nimeluhusiwa kukumega rasmi
 
Kama Shekhe Ponda anataka meseji yake wapiga kura waipokee vizuri, angeacha kuwagawa kwa misingi ya dini.

Ni bora aombe kura za WaTZ wote kuliko kuja na kauli kama “ninawaomba Waislamu kufanya so and so..”
Mjinga tu wewe, Raila Odinga alisaini MoU na waislamu mwaka ule kina Najib Balala na akashinda uchaguzi.

Waislamu wana mahitaji yao maalum na kiongozi wanayemwamini ni Sheikh Ponda, kwahiyo Sheikh Ponda akiwaambia kura za waislamu tunampa Lisu anaeleweka kwamba kuna maslahi ya waislamu yamezingatiwa ikiwemo kuivunja Bakwata na waislamu waunde chombo chao wenyewe na siyo kuwa ccm wing.
 
Aliposimama bwana alasad juz na kuiombea kura Ccm juzi alikuwa mzalendo. Leo kaja ponds mnawewesekaaa. Pumbav
 
Kwa nini umekuja kumjibu hapa JF. Umeambiwa ni member hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…