Uchaguzi 2020 Tusimjibu Shekhe Ponda mitandaoni, tujiandae kupiga kura


Furaha yangu ni kuwa tumepata mtu wa kumweleza jpm ukweli wake

Coz nyie wote mlikuwa hamuwez kumwambia anything wote ni waoga

Sasa amekuja mtu mmoja ambae amedhubutu hata kujibizana nae

Hata akishinda jpm I'm sure hatoamini Tena Yale maneno ya kusema Hakuwa na haja ya kufanya kampen
 
Pumbaf ww
 
Ponda tutamponda kwenye sanduku la kura 28/10

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kua mwanaccm maana yake ,kichwan una Uwazi ,na tope


Watanzania wanajua ,Waislam wanajua yalompata Ponda kwa kusomamia haki za waislam wote Tanzania.

Na ndo keshaamua kua upande wa HAKI, UHURU NA MAENDELEO YA WATU.
 
Dawa ni kuyaondoa ma CCM madarakani,, yaani mwendo wa kuyafukuza ma CCM kila kona ya nchi hii, yaani kupiga spana tuu nyamvafu zao......
 
Hahaha ccm akili zimewaruka?!

Kwani sheikh Ponda aliuliza maswali?!
 
Lakini sio kila siku ijumaa ukumbuke
 
Anawakuna mpaka mnamtungia mashairi[emoji1787][emoji1787]
 
Wafanyakazi wote wa siri kali tunapiga kura za maruhani tarahe 27 ili kujaribu kuiokoa CCM kutoka kwenye makucha ya chadema[emoji847][emoji847][emoji847]
Hakuna mwanaCCM anaweza fanya huo ujingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Majigambo, matusi, mbwembwe zote mwisho tarehe 28
Kuanzia tarehe 29 tukutane hapa kupeana pole na pongezi😁😁😁😁😁
 
Teh teh teh teh...Ponda kawavuruga kweli kweli...haaaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…