Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani.
# Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao? Yeye akiwa kiongozi mkubwa hapo awali ktk chama kwa nini aliruhusu nchi iongozwe kwa utamaduni tangu 1961?
# Baada ya kujifunza toka Zanzibar baada ya kifo cha Karume, na kwa majirani zetu DRC, Burundi, Rwanda nk kwa nini hakusukuma agenda ya kuboresha Katiba kuhusu upatikanaji wa Rais, na wakaweka misingi mizuri ya kikatiba?
# Uchaguzi wa 2020 akiwa itikadi na uenezi mbn yako matukio mengi maovu ya kiuchaguzi hakuyakemea - kwa nini hakujitoa ktk Serikali au chama kutokana ukandamizaji wa kidemokrasia, kutekwa, kupotea au vifo vya mashaka ya baadhi ya watanzania? Kwamba wakati huo alikuwa hajaokoka na kumjua Mungu? Mbn waliopotea miaka hiyo walikuwa na damu sawa na hawa wa juzi tu - sasa kwa nini awe mtu wa double standard? (Samia asifae wkt Magufuli alifaa)!!!
Tumjibu Polepole, lkn pia tumshauri Rais inapofaa.