Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Naona umemjibu bwana Polepole hoja unazoona kwayo amepotoka. Lakini sijaona ulipomshauri mh Rais !!. Kulikoni!!Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani.
# Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao? Yeye akiwa kiongozi mkubwa hapo awali ktk chama kwa nini aliruhusu nchi iongozwe kwa utamaduni tangu 1961?
# Baada ya kujifunza toka Zanzibar baada ya kifo cha Karume, na kwa majirani zetu DRC, Burundi, Rwanda nk kwa nini hakusukuma agenda ya kuboresha Katiba kuhusu upatikanaji wa Rais, na wakaweka misingi mizuri ya kikatiba?
# Uchaguzi wa 2020 akiwa itikadi na uenezi mbn yako matukio mengi maovu ya kiuchaguzi hakuyakemea - kwa nini hakujitoa ktk Serikali au chama kutokana ukandamizaji wa kidemokrasia, kutekwa, kupotea au vifo vya mashaka ya baadhi ya watanzania? Kwamba wakati huo alikuwa hajaokoka na kumjua Mungu? Mbn waliopotea miaka hiyo walikuwa na damu sawa na hawa wa juzi tu - sasa kwa nini awe mtu wa double standard? (Samia asifae wkt Magufuli alifaa)!!!
Tumjibu Polepole, lkn pia tumshauri Rais inapofaa.
Inaweza kuwa utamaduni huo upo ila ni mbaya sana kusema hadharani kama alivyofanya polepole. Maana yake utamaduni huo utakufa rasmi (wanaokuwa kwenye hizo nyadhifa watapambana ufutwe) watasema ni kinyume cha katiba nk nk unless itabidi uandikwe na ukiandikwa itakuwa kinyume cha katiba. (Yaweza kuwa CCM walikuwa sahihi tu ila Polepole amefanya utoto kuusema). Na ndiyo maana kwa miaka nenda rudi haujawahi kusemwa, na ndiyo maana tumeona miaka yote Ma PM na VPs wastaafu wakiomba kugombea kuwa Marais (ina maana walikuwa hawajui???) kwamba yeye polepole ndio anajua????Kuna vitu huwa haviandikwi ila ndivyo vilivyo.
Ila kwa kawaida tu imagine tuna kiongozi aliyeshika nyadhifa za juu kabisa za mwisho za ki uongozi kwa miaka 15 huo si ndio udikteta wenyewe??!!
Mbona Biden alijishauri akakaa pembeni na mambo yakaenda.Akisaidie chama kwa kujiondoaPM kakaa Pembeni,
Samia naye akae Pembeni.
SI lazima tumshauri, Yeye mwenyewe ajishauri, ajipime na kufanya self assessment.
Biden ana Elimu gani, na huyu ana Elimu gani?Mbona Biden alijishauri akakaa pembeni na mambo yakaenda.Akisaidie chama kwa kujiondoa
Waliokwamisha kupatikana katiba mpya ya wananchi wataje,ili tuchambue anayestahili lawama.Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani.
# Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao? Yeye akiwa kiongozi mkubwa hapo awali ktk chama kwa nini aliruhusu nchi iongozwe kwa utamaduni tangu 1961?
# Baada ya kujifunza toka Zanzibar baada ya kifo cha Karume, na kwa majirani zetu DRC, Burundi, Rwanda nk kwa nini hakusukuma agenda ya kuboresha Katiba kuhusu upatikanaji wa Rais, na wakaweka misingi mizuri ya kikatiba?
# Uchaguzi wa 2020 akiwa itikadi na uenezi mbn yako matukio mengi maovu ya kiuchaguzi hakuyakemea - kwa nini hakujitoa ktk Serikali au chama kutokana ukandamizaji wa kidemokrasia, kutekwa, kupotea au vifo vya mashaka ya baadhi ya watanzania? Kwamba wakati huo alikuwa hajaokoka na kumjua Mungu? Mbn waliopotea miaka hiyo walikuwa na damu sawa na hawa wa juzi tu - sasa kwa nini awe mtu wa double standard? (Samia asifae wkt Magufuli alifaa)!!!
Tumjibu Polepole, lkn pia tumshauri Rais inapofaa.
Polepole anapotisha hakuna mahala Samia amekiuka Katiba ya Nchi Wala utamaduni wa CCM.Team!

Wewe chawa umezijuaje taratibu za chama kumzidi Pole Pole?Polepole anapotisha hakuna mahala Samia amekiuka Katiba ya Nchi Wala utamaduni wa CCM.
Hoja ya Polepole ingeleta maana kama Samia angekuwa anamalizia mda ambao ni chini ya miaka 4 ,,lakini zaidi ya hapo Ina qualify kuwa full term and subsequently lazima apate favour za utamaduni wa Chama wa kuheshimu aliyepo.
Chama na taratibu zake zinatunzwa kwenye kabati la Polepole?Wewe chawa umezijuaje taratibu za chama kumzidi Pole Pole?
Acha Polepole awachokonoe wahuni wote wamapangoni wajitokeze nje ya mapango yao kwani ndio kificho chaoWewe chawa umezijuaje taratibu za chama kumzidi Pole Pole?
Wewe ni mjinga,Chama na taratibu zake zinatunzwa kwenye kabati la Polepole?
Kwani hunamsikia? Kwani hujalinganisha na Katiba ya Nchi na taratibu zake?
Chadomo mnaacha kumhangaikia kibaraka wenu mnahangaika na kina Slowslow