Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

 
Wewe ni mjinga,

Kwanini Pm hajawahi kupitishwa kuwa mgombea Urais ndani ya CCM?

Utaratibu huo Imeandikwa wapi?

Na ikiwa Pm kapigwa pini asiendelee sababu ya taratibu za chama, iweje Samia?
Wewe ni mpumbavu
Kwa maelezo ya huyo mhuni na opportunist wenu SSH ni PM? SSH ni VP?
 
Ukiulizwa habari za Pole pole sema za sasa! Fuata mafundisho ya Shehe/Padre usifuate matendo yao.
Tujadili hoja za Pole pole za sasa kama zinafaa kuijenga Tanzania.
 
Kuna majibu mengi ya wazi kabisa kwa swali lako hili. Lkn acha tuanze na hoja hizi:-
1. Unachojaribu kufanya hapa ni kuhalalisha uovu kwa kutumia uovu. Unatuaminisha kwamba kwakuwa awamu ya 5 kulifanyika uovu na Polepole akiwa kiongozi alinyamaza, basi na hata awamu hii uovu ni halalali kufanyika na Polepole aendelee kunyamaza.
2. Inaelekea huamini katika mabadiliko ya fikra na mitazamo ya mtu binafsi na ndiyo maana inakupa shida kuona Polepole yule yule aliyenyamazia maovu ya awamu ya 5, awamu hii anapiga kelele.

N B. Hata akitokea shetani akaanza kuupinga uovu tuungane naye.

Polepole ni shujaa.
 

Desturi, tamaduni pamoja na sheria ndiyo zinaongoza taasisi, jamii, nchi.

Katiba ya UK ni ambayo katiba yetu zetu zimechukua mengi imetokana na mkusanyiko wa Sheria, tamaduni, makubaliano ya Watu wa UK kwa mamia ya miaka.
 
Ccm kwa ujumla wako kimaslahi..
Pole pole leo angekuwa na mianya haya yote asingeongea leo!

Magufuli alianza kuua watu toka ameingia madaraka! Infact ndiye mwanzilishi wa yanayoendelea.
2019 na 2020 alinajis chaguz zote!
Kama mama alivofanya 2024 na atafanya hivo hivo 2025!

Adui mkubwa wa hii nchi ni CCM!
NRNE
 
Kama katiba ya CCM imevunjwa, msajili wa vyama vya siasa anasubiri nini kuchukua hatua!?
 
Mleta mada ni Kati ya watu wa ajabu sana. Hivi kwa nn mtu akikemea uovu mnakimbilia kusema huo uovu ulikuwepo toka kitambo? Ko Kama mauaji yalikuwepo kwa magufuli ndo justification ya kuendelea kuwepo? Ebu jibuni kwa akili kidogo basi

Ni jambo la ajabu sana linalotokea,
Kila chawa anaejitokeza kujibu hoja za polepole anasema mauaji na utekaji ulikuwepo na haujasemewa kabla, ina maana kwa mtazamo wa kichawa utekaji na mauaji yaendelee tu hamna shida!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…