Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa

Mmawia Mwana mageuzi?
anageuza kitu gani[emoji1787]?
 
Vipi anaguswaje na wakati muda huo CDM ipo na fisadi Papa wanalialia[emoji1787]

Point zenu zingekuwa valid only if CDM wangekuwa ni wasafi hawajapotoka kwa ule upuuzi walioufanya.
 
Vipi anaguswaje na wakati muda huo CDM ipo na fisadi Papa wanalialia[emoji1787]

Point zenu zingekuwa valid only if CDM wangekuwa ni wasafi hawajapotoka kwa ule upuuzi walioufanya.
Fisadi papa alishakufa maana ktk awamu zote za nchi hii awamu yake ndiyo iliyoongoza kufanya ufisadi wa hatari zaidi huku akiwafuga majizi na majambazi
 
Vipi anaguswaje na wakati muda huo CDM ipo na fisadi Papa wanalialia[emoji1787]

Point zenu zingekuwa valid only if CDM wangekuwa ni wasafi hawajapotoka kwa ule upuuzi walioufanya.
Tafuta popote ninapounga mkono wa uhuni ule, ukipaona uje tuendelee na mjadala.
 
Tafuta popote ninapounga mkono wa uhuni ule, ukipaona uje tuendelee na mjadala.
WeweTindo hakuna popote unapounga mkono ule uhuni.

Ila kumkandamiza Slaa pekeyake si sawa..
Huoni nao CDM walichangia Slaa kuwa vile?
 
Usiwekeze kwenye kusubiri kusemewa na fulani kwenye siasa, linapotokea jambo siku zote simama wewe uanze kulisemea, wengine kama wakijiunga nawe mbele sawa, wasipojiunga usipoteze muda kuwasubiri au kuwabeba moyoni kwanini hawakusema, mara zote iamini sauti yako.
 
Hamna consistence kwa mwanadamu, hiyo ipo kwa computers, we make mistakes.
 
Sema wakatoliki mnasimama na Dr mihogo
 
Sema wakatoliki mnasimama na Dr mihogo

Ndugu Mwaipopo masuala ya bandari na ya Katiba mpya siyo la TEC ni ya watanzania wote ndugu Mwaipopo.

Hata na mkereketwa wake ndugu Zawadini tulikubaliana hivyo.
 
WeweTindo hakuna popote unapounga mkono ule uhuni.

Ila kumkandamiza Slaa pekeyake si sawa..
Huoni nao CDM walichangia Slaa kuwa vile?
Simkandamizi Slaa, ila sina imani naye, japo naheshimu anachosimamia sasa.
 
Hata hapa sisubiri nyie mnisemee bali najisemea mwenyewe. Slaa nasema hapa maana ndio kichwa cha hii post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…