Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Siwajibiki kumuunga mkono yoyote, lakini nikiona anasimamia ninachoamini sitampinga, na hiyo hainilazimishi kumuamini. Na sina popote ninapopinga anachopigania Slaa kwa sasa, lakini haki yangu ya kutokuwa na imani naye iheshimiwe. Kuna shida kwenye hilo?Mawazo duni kabisa. Kwa ushahidi upi umeandika haya?
Hudhani kuepukana na hadithi za CCM hIzo zenye kutaka mno kutugawa karata yetu ya turufu ingekuwa kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu bali agenda?
Ka ndivyo huoni kuwa safari yetu ya ukombozi ingekuwa endelevu?
Kwani Samia, Majaliwa, Kabudi au hata CCM wakiikana IGA wakaona umuhimu wa katiba mpya sasa, wewe hautawaunga mkono?