Napambana ninunue hata vits kwa jasho ila si kucheza biko na kubetCheza BIKO upate mshiko
AhahahHapa JF nadhani ni mimi na wewe tu ambao hatuna magari.
Sema naomba nikupe route ya kwenda huko!Ebu nipe ruti ya kwenda escape one from mwenge nimealikwa sikukuu ya kuzaliwa ila hata sijawahi kufika huko, napanda gari za wapi maana naskia iko mikocheni , alafu kuna kiingilio? Kama kipo siendi sina ela mm
Unakurupuka, kwani sijasema naomba kuelekezwa? Au kusema nachoenda fanya imekua kosa? Una uhakika sijasema niko wapi, nimesema "From Mwenge" huoni apo ???Sema naomba nikupe route ya kwenda huko!
Ujasema pia uko wapi ili uelekezwe vzuri
kwani aliye na gari hana nyumba?? au maisha ni kuchagua kimoja baina ya gsri na nyumba??Mm ndoto ni Nyumba sio gar nataka niitwe baba mwenye nyumba sio baba mwenye gari
Cheza tatu MZUKA ULAMBE DUME..MIMI Nishajikomboa.Wale wote tusio na magari ya kutembelea hapa mjini na mikoani tukutane hapa!
Tuelezane changamoto na faida tuzipatazo tunapotumia public transport hususani daladala
Kwangu mimi kero ni kujazana kwenye basi kama ngombe zizini pia kugombania chansi hasa mida ya jioni na asubuhi kwa wakazi wa gomz, mbagala, mbezi mwisho hii wanaielewa vizuri
lakini pia dharau hapa mjini kwa sisi tusio na gari zimezidi, watoto wengi wa kishua tunawasikia tu
Faida niipatayo ni kukutana na totoz za maana kwenye gari yaani full changanyiko
Pia gharama ndogo hata huwa sioni haja ya kupanda bajaji au bodaboda
Karibuni
Unaomba msada halafu unakua mkali, panda gari zinazoenda kawe utauliza huko utashushwa!Unakurupuka, kwani sijasema naomba kuelekezwa? Au kusema nachoenda fanya imekua kosa? Una uhakika sijasema niko wapi, nimesema "From Mwenge" huoni apo ???
AhahahahNadrive, nikipark ntacomment vizuri
UmepoteaHuu uzi na wa wenye gari au
Naomba kuulizia naweza pata sportreem za rav4 ya gari ya hiusegirl wangu? Ananisumbu kweli wakuu mwenye nazo mpya lakini