Tusio na magari tukutane hapa

Upande daladala limejaa sana, umesimama halafu mnaambiwa kuna msafara wa rais na hapo ukute yupo home kwake anamalizia kipande cha mkate.
Nilikua najidondosha kwa kweli uongo mbaya, napishwa siti nakaa.

Ila kwa sasa kama naenda root ndefu nitageuza na gari au kuunganisha magari au kusubiri mida foleni hakuna (saa nne au tano)

Raha yake ni kuchukua namba za warembo.... lol.
 
Nawasalimia na kuwaombea nanyi mpate 'kamotoka' ka kuzugia mjini na kubebea totoz
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Culture gal ni wa kiume au kike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…