Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Khaaaaahii yote gharama ya nini?
Apande gari ashuke moroko atembee kwa miguu mpaka huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaahii yote gharama ya nini?
Apande gari ashuke moroko atembee kwa miguu mpaka huko
Jamaan kwa nini lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ilikuwa corola nyeupe alaf hata sikuiendesha nliiweka nyumbani kama pambo
AsanteMi naitwa Jakitoo, Nashukuru kukufahamu mpendwa
Sijui kuendesha alaf akanihonga nikashindwa kukataa, ilinipa ujiko kijijini kwetu japokuwa ilikuwa imepark tuu njeJamaan kwa nini lakini
Ebu acha ushamba ujue endesha gari hiyoSijui kuendesha alaf akanihonga nikashindwa kukataa, ilinipa ujiko kijijini kwetu japokuwa ilikuwa imepark tuu nje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu acha ushamba ujue endesha gari hiyo
Hahahaha mkuu mbona tupo wengi, wengn wanajifanya tu level za juu lkn ndo wale waleHapa JF nadhani ni mimi na wewe tu ambao hatuna magari.
Wenye wivu wanasemaga hivoMm ndoto ni Nyumba sio gar nataka niitwe baba mwenye nyumba sio baba mwenye gari
Nawaonaga wanavyojisifiaga mkuu, ila niulize huyo dogo kwenye avatar yako alikufaga kweli?Hahahaha mkuu mbona tupo wengi, wengn wanajifanya tu level za juu lkn ndo wale wale
Yeah alikufa mkuuNawaonaga wanavyojisifiaga mkuu, ila niulize huyo dogo kwenye avatar yako alikufaga kweli?
Wewe tena,na mpk honi nitakuruhusu kupigaUsisahau kunipa lift ujue
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wewe tena,na mpk honi nitakuruhusu kupiga
Jamani unanicheka au siyo gari???Ahahahhaha
Hapana mama angu sikucheki ujue hizo zipo kwenye kilimo zinafanya kazi ila anasemea gari ambayo unaendesha mwenyeweJamani unanicheka au siyo gari???
Culture gal ni wa kiume au kike?Upande daladala limejaa sana, umesimama halafu mnaambiwa kuna msafara wa rais na hapo ukute yupo home kwake anamalizia kipande cha mkate.
Nilikua najidondosha kwa kweli uongo mbaya, napishwa siti nakaa.
Ila kwa sasa kama naenda root ndefu nitageuza na gari au kuunganisha magari au kusubiri mida foleni hakuna (saa nne au tano)
Raha yake ni kuchukua namba za warembo.... lol.