Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie hata baiskeli ya kuchora sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie hata baiskeli ya kuchora sina
Tupoo mwayaHuku Jf kila mtu ako na gari Mkuu isipokuwa mie, wengine meli wengine wameagiza bombadia tayari...
Wakati wa bwana ukifika tutanunua mwaya kama kuna wenzangu humu?!!
Huyo haendi si umeona alivyosema
Ahahhh na hapo umemtajia hayo magharama ngoja arudi umsikieNa kweli, maan si kwa hiyo bure anavyoipenda [emoji23][emoji23]
HahaJamaan hutaniwi [emoji134]♀️
Wapi huko nikujeHaha
Nipo nasoma kuleeee
Basi wa dar ndo huwa nyuma, huku wanatanguliaga[emoji1][emoji1][emoji1] mbeba pochi anakaa nyuma ujue huku ameshika funguo za gari
AfadhaliTupoo mwaya
Ahahahh kwahiyo mm nitakaa nyuma yako ujue mpaka ulinzi wako mbeba pochi anahusika naoBasi wa dar ndo huwa nyuma, huku wanatanguliaga
Usiku nlilala ujue... Mbona kama nimekuona hukoWapi huko nikuje
Umeniona wapi mie nililala jana sa 5 ujueUsiku nlilala ujue... Mbona kama nimekuona huko
Hakyananii SidanganyiAfadhali
Kama wadanganya Mungu anakuona ujue
HahaAhahahh kwahiyo mm nitakaa nyuma yako ujue mpaka ulinzi wako mbeba pochi anahusika nao
Kwenye ule uzi bhanaaaUmeniona wapi mie nililala jana sa 5 ujue
Hivi dada me ni mlaini eenh ebu ngoja kwanza nijiangalieHaha
Sa wewe unaweza kweeeli, ulivyomlainii
Ukitangulia kununua usininyime lift mieHakyananii Sidanganyi
Ooonh nilikuwepo mpaka sa 5 na madakikaKwenye ule uzi bhanaaa
MhHakyananii Sidanganyi
SaaanaHivi dada me ni mlaini eenh ebu ngoja kwanza nijiangalie
YaaniOoonh nilikuwepo mpaka sa 5 na madakika