Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ahahhahahahah ukipark nje kila mda unatoka kuiangaliaHaha
Yaani nikiinunua hamna ataejua kabisaaaa maana ntakuwa naichunga balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahhahahahah ukipark nje kila mda unatoka kuiangaliaHaha
Yaani nikiinunua hamna ataejua kabisaaaa maana ntakuwa naichunga balaa
Ahahahhaha sijaona mtu mieIna maana hukuona watu nyuma yangu au, tatizo wewe mbishi ka nini sijawahi ona mabonge wabishi
Kweli uzi haukuhusu huuHaha
Yaani nimecheka mpakaaa
Wote ni hapa!Wenye pikipiki na baiskeli tunakaa wapi
Mmenichoka eehebu mwambie atuache bwana, atusubiri nje tunataka lifti sisi...
Dada ebu tuachen jaman huu uzi wa wasimamia bomba tuebu mwambie atuache bwana, atusubiri nje tunataka lifti sisi...
Ni venye mwanifukuza jamanisi unatuchekaa [emoji20][emoji20]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wote ni hapa!
Hutaki auMfyuuu ujue watu wataniogopa hata kunisalimia ebu acha mambo zako hata baiskel sina
Mwendokasi ni shurba jamani kuna siku nashuka sasa kutokana na ule mbanano kufika nje blouse yote imefunguka [emoji30][emoji30]Mkuu hatimaye na sisi tuna thread yetu tupo wengi ujue nikifikilia kupanda mwendo kasi jamani na huku kwetu zinavyojaza
Nikwa ndani nachungulia dirishani muda woteAhahhahahahah ukipark nje kila mda unatoka kuiangalia
katusubiri kwenye Harrier yako tunakujaa...[emoji1][emoji1]Ni venye mwanifukuza jamani
AiseeAhahahhaha sijaona mtu mie
Hii ni changamoto kubwa tunakutana nayoKama Huna gari madem wazur mtaishia kuwaona kwenye TV tu
Sitaki ndio unanilazimishaje vitu ambavyo sijawahi hata kuviota kuwa navyoHutaki au
HahaKweli uzi haukuhusu huu
SawaDada ebu tuachen jaman huu uzi wa wasimamia bomba tu
Yaan mwendo kasi ni changamoto sana kuna siku nashuka naona handbag yangu zipu yote wazi kuangalia sijaibiwa chochote sijui ndio walikua wanajiandaa kuniibiaMwendokasi ni shurba jamani kuna siku nashuka sasa kutokana na ule mbanano kufika nje blouse yote imefunguka [emoji30][emoji30]
Ahahhahah kipya kinyemi unahisi sijui nitaibiwa [emoji1][emoji1]Nikwa ndani nachungulia dirishani muda wote