Tusio na magari tukutane hapa

Tusio na magari tukutane hapa

Mwendokasi ni shurba jamani kuna siku nashuka sasa kutokana na ule mbanano kufika nje blouse yote imefunguka [emoji30][emoji30]
Yaan mwendo kasi ni changamoto sana kuna siku nashuka naona handbag yangu zipu yote wazi kuangalia sijaibiwa chochote sijui ndio walikua wanajiandaa kuniibia
 
Back
Top Bottom